Naunga mkono hoja 100%. Waache waendelee kufanya utafiti wa mababa wakwe na mama wakwe sisi wenye visenti tuendelee kuwagegeda mwisho wa siku tunawa-dampo. Akigeukia upande wa pili kwa yule aliyemkataa awali naye amekwisha oa maskini mwenzie na wanaishi kwa amani. LOL.Hao ndo tunaowatumia kama Kondom au kama mpira wa Poool Table,,,Mwanamke wa KUOA anajulikana na wa kufanya nae MAZOEZI anajulikana.
Wasichana wa siku hizi wajanja sana,wanajua ku-point ukweni hali ilivyo,unaweza kukaa nae kama wapenzi hata miaka zaidi ya 10 ila ndoa hataki coz ashajua ukoo wenu sio anaoutaka anakulia Timing akutafutie kosa akumwage....Anakuuliza babako anafanya nini unamjibu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa hivi amejiairi ni Mkulima wa Mananasi.,anajua kimenuka hajalipwa mafao...Na mamako Je...Unamjibu Mwalimu,anajua atalishwa chaki tu maana hali za Walimu twazijua.
Wanaogopa siku ya harusi muda wa zawadi Baba mkwe anakupa zawadi ya Minazi ya shamba lake la Kibaigwa eti Kilimo ndo uti wako wa mgongo,thubutuuu na Mama mkwe na walimu wenzie wanakuja wanajirusha-rusha meno nje wamejitwisha Cherehani na godoro la Banco..Sistaduu gani anataka kuwa Mkulima au Fundi Cherehani kizazi hiki??
Ukiona umekataliwa ndoa ujue kuna mengi,utasikia mi bado sijajipanga kumbe mdada anakwepa Wakwe na zawadi loko loko kwenye harusi,atauzaje sura kwa Mashosti na Cherehani,unataka achekwe kwenye DP za Blackberry???...Wenzio Wanaota Funguo za Vitz kutoka kwa Baba Mkwe...Cheque ya Milioni 15 kutoka Kamati ya Maandalizi...Washing Machines....Wakaka, ukiona dada anakuuliza Wazazi wako wanafanya kazi gani waza mara 2 kabla hujajibu,tena bora ujibu Babako Balozi wa China na Mama ni Afisa Uajiri Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Vijana,utamsikia 'Baby when is our wedding I cant wait to be ur baby mama' i love u so much Boflo

Aaaah! Wapi! Inategemea na wewe umejipanga vipi! Kama uko vizuri kama mzee Machache hata wazazi wako hata wakiwa ombaomba i will marry you dear!!!!!!!!!! You personally has more that what i can dream.
Ahahahah ni ngumu sana siku hizi kuwatambua!
Mm X wangu alikuja ghafla ofisini eti ksioba gari Rav4 linauzwa kisutu akasisitiza kaja ghafla ofisini kwangu NIMPE milion 12 tu akalichukue haraka!
Niliposema SINA hata robo ya hela hiyo akaenda ghetto kwangu akachukua wigs zake zote na SIJAMUONA tena!
teh teh teheeeeeee!!
h4h4h4h4444444444!!
Umecheka kizungu?
pole sana sikonge....
ngoja nimuulize Kaunga anisaidie kujibu
Mkuu kabla ya hapo hukuwa unapigwa Ngeu za hapa na pale? Maanake hadi Ml.12 si mchezo,,,by the way m/Mke mwenye kukupiga Ndui za hapa pale hafai hata kidogo.
Naona ka mada imekupiga gwala vile...Kwani unapofunga ndoa unawaolea wazazi,wakwe au mnaoana?
Wasichana wa siku hizi wajanja sana,wanajua ku-point ukweni hali ilivyo,unaweza kukaa nae kama wapenzi hata miaka zaidi ya 10 ila ndoa hataki coz ashajua ukoo wenu sio anaoutaka anakulia Timing akutafutie kosa akumwage....Anakuuliza babako anafanya nini unamjibu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na sasa hivi amejiairi ni Mkulima wa Mananasi.,anajua kimenuka hajalipwa mafao...Na mamako Je...Unamjibu Mwalimu,anajua atalishwa chaki tu maana hali za Walimu twazijua.
Wanaogopa siku ya harusi muda wa zawadi Baba mkwe anakupa zawadi ya Minazi ya shamba lake la Kibaigwa eti Kilimo ndo uti wako wa mgongo,thubutuuu na Mama mkwe na walimu wenzie wanakuja wanajirusha-rusha meno nje wamejitwisha Cherehani na godoro la Banco..Sistaduu gani anataka kuwa Mkulima au Fundi Cherehani kizazi hiki??
Ukiona umekataliwa ndoa ujue kuna mengi,utasikia mi bado sijajipanga kumbe mdada anakwepa Wakwe na zawadi loko loko kwenye harusi,atauzaje sura kwa Mashosti na Cherehani,unataka achekwe kwenye DP za Blackberry???...Wenzio Wanaota Funguo za Vitz kutoka kwa Baba Mkwe...Cheque ya Milioni 15 kutoka Kamati ya Maandalizi...Washing Machines....Wakaka, ukiona dada anakuuliza Wazazi wako wanafanya kazi gani waza mara 2 kabla hujajibu,tena bora ujibu Babako Balozi wa China na Mama ni Afisa Uajiri Wizara ya Kazi na Maendeleo ya Vijana,utamsikia 'Baby when is our wedding I cant wait to be ur baby mama' i love u so much Boflo
Kwani unapofunga ndoa unawaolea wazazi,wakwe au mnaoana?