Kwanini hammwambii mwenzenu ukweli? Sikiliza bwana mleta mada ,binafsi nilishakaa nao hao wanawake, na hapa nilipo nafahamiana nao wa3, ni watumishi wenzangu serikalini japo katika kada tofauti tofauti.
Wanayoyafanya hawa madada nachelea kusema, wanawaharibia sifa wangoni wenzao! si kuwa ninawaponda!no! Kiukweli tabia walizonazo hawa madada wa kingoni ni aibu. Mfano, wanawapanga wanaume mpaka inatisha! Wananatamaa sana ya pesa, japo ni watumishi, ukiwa na 20 unawapitia fasta tu!
Mwingine jana tu! nusu nusu agonganishe midume, tulishukuru Mungu haikutokea hivyo vinginevyo ingekuwa balaa. Kwa hiyo ndugu yangu mleta mada, shemeji zako ndio hao.
Kwa upande mwingine, binafsi sidhani kama ni sahihi kwa mtu pengine kwa lengo la kutaka kutetea kabila lake ama kwa kutaka kuikwepa ile dhana ya ukabila, kusema kwamba, wanawake wote wa Tanzania wanasifa zinazofanana, si sahihi kabisa, wanawake wanapishana tena sana tu! Ndio sababu kuna baadhi wanawake wa makabila wanaongoza kuolewa na wengine hawana soko kabisa.