Wasichana wa Kingoni.....

Wasichana wa Kingoni.....

Anaye wajua vizuri please anisaidie, kuna binamu yangu kampata huko songea sasa kanipigia simu kuwa anataka kumleta home kumtambulisha, vipi tabia zao common?

aoe tu! Twatoa baraka, ni mabint wasio na challenge kwa mume! Wapo tu, bora liende.
 
Nawajua kuwa ni watu wanaopenda ngono na ni wafupi.

Kwa tabia hizo siwagusi hata kidogo.
 
nadhani mtoa thread hizo sifa zote unazopewa ni za general sana lkn kuna tabia binafsi ndo unatakiwa uzijue mwenyw
 
haki ya nani bambo Deo Corleone unihekisi kweli na madongo kagu.nanene niyonjochokesa,dola nyina kwa vandu voha vala ambao huvalongelela vibaya dada vitu va kingoni.
 
Last edited by a moderator:
Oh my gosh! Hakuna mbebez wabovu kama hao!..ni weusi tiii!...wafupi kama kishungi!..maumboless!....wengi wana vitambi na hawajui kusoma! Infact ni super vinyagoz you know!!

Nyambafu huna adabu !! Inavyoonesha kwenu hakunaga wakubwa.
 
binafsi nimewapitia kadhaa enzi za ujana na bado nawakumbuka kwa ile sekta nyeti maana wako vizuri haswaa. Sio wakorofi na wanajua kupenda hata ukimwalika geto nakumbuka atafanya karibu kazi zote yani hutamani kwenda kuzurura kwa washkaji. mdau anaetaka ushauri mi namwambia aoe tu
 
Back
Top Bottom