Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
hahaha cha kawaida sana dadi.
vakoto kuliga vadala va chingoni! Te tivipala sana wadala hasa palihere lyuva
hahaha cha kawaida sana dadi.
Anaye wajua vizuri please anisaidie, kuna binamu yangu kampata huko songea sasa kanipigia simu kuwa anataka kumleta home kumtambulisha, vipi tabia zao common?
Nipo love. Busy days. Siku njema mwayapouwa mpenzi za kwako ... upo mama?
Hii post ilinipita siku kadhaa ila em nikujiuliza. Mauno apa ndo chooni. .lol.mambo vipi LakinHii habari ya mauno aliyoisema miss chaga ndo imekufanya umsalimu..?? Unayajuwa lakini..??
Oh my gosh! Hakuna mbebez wabovu kama hao!..ni weusi tiii!...wafupi kama kishungi!..maumboless!....wengi wana vitambi na hawajui kusoma! Infact ni super vinyagoz you know!!
wanajua kukata kiuno
wanajua kupenda
mi ni mngoni mkuu, hawa dada zangu wana tabia zifuatazo.,1.hawana makuu na hukubali kuwa chini ya mume. 2.sio wavivu. 3.wanajali ndugu na marafk wa mume(wakarimu). 4.wanamwamin sana mume kifupi hafanyi chochote mpaka umwambie afanye. 5.wengi wao sio wasomi. 6.usitegemee kudai chochote ukiwafukuza kwako. 7.ni wamama wa nyumban,sio watu wa mishe, wanamtegemea mume. 8.chochote utakachosema/kumwamuru atatii. 9.wana ugonjwa wa kupenda, yaani wanapenda hadi inakera. 10.akiolewa urafiki na ndugu zake unapungua sana,atawapenda sana ndugu wa mume. kifupi hivyo.
ulishawahi kusex nao wakakupa ayo mauno miss chagga????
Nipo love. Busy days. Siku njema mwaya
pole,,karibu tena another timeloh! swali gumu sana bye bye
pole,,karibu tena another time
We ni chagga umejuaje hayo?wanajua kukata kiuno
wanajua kupenda
We ni chagga umejuaje hayo?