wasichana wa kabila la wakinga wana tabia gani?

wasichana wa kabila la wakinga wana tabia gani?

wakuu,niko katika mahusiano na binti wa kikinga na kwa namna tunavyoenda nimemwahidi kumuoa as soon as possible.ila kabla ya yote naomba kupewa sifa za wasichana wa kikinga ziwe nzuri au mbaya poa tu.
Watata ukweli kwao ni shida!
 
Wa uongooo achana nao watakuroga mizimu yao mikali Sana
 
Back
Top Bottom