wasichana wa kabila la wakinga wana tabia gani?

Sijui mkuu!!! Mimi ndo nimesikia hivyooo...
Alafu mama anapenda kusema "unakua m'bishi kama mkinga!!!" Sijui ni wabishi pia?
Heee umesikia nawe unazungumzia bila uhakika, tutapata viwanda kweli kwa watu kutojihusisha kiakili hivi?
 
Owa uyo hata ikitokea umekwama kimaisha au umetangulia watoto wako hawaji lala njaa
 
Heee umesikia nawe unazungumzia bila uhakika, tutapata viwanda kweli kwa watu kutojihusisha kiakili hivi?
Kwani unavyo zungumzia tabia za kabila fulani ni lazima uwe umewafanyia research? Mengi ni ya kusikia watu wanavyowaongelea kabila hilo... Na nimesikia from a reliable source, mtu alie ishi nao.
 
Wakinga kama wakinga ni die hard!!! Yaani hakimbii kitu. Kwenye biashara ni watata sana... Atakomaa adi atoke. Si wa kukata tama kirahisi.
Sifa nyingine ni washirikina saana, unaambiwa mpemba na mkinga hawakai pamoja... Ata kariakoo eneo akiamia mkinga, mpemba atahama tu.

Wewe nani alikwambia mpemba mshirikina ,Laanatullah
 
Sita mapembero!
Mapembero bhabene
Sasa kama ww Mkinga kwa nn unatumia jina letu bana?
Bhabhene lokholo! Hilo jina lipo hata kwa kikinga Malafyale, na maana yake ni ile ile. Maneno yetu na yenu mengi yanafanana tunatofautiana kuyatamka tu
 
Kama hupende kutawaliwa usijaribu...Nakama hujui na hupendi ushirikina nenda kajifunze,ukitaka kupata pesa za manyoka nazamda mfupi nenda,Kaoe,kanisani wewe nikivuritu'cha ku hide maovu kwakuwa mtajaa uchawitu kaoe"kula chakula chaovyoovyo kwakuwa wengiwao kupika ni zero,hilo ulitambue...ukitaka kufurahi kusalimiwa kwa kupiga magoti lkn moyoni ni nyoka oatu kijana.
 
Hivi watakuwa na tofauti na wa bena? Naona ni kanda moja hio
 
Mtu anasikia wakinga wachawi basi anabeba hivyo hivyo naye anasema wakinga wachawi bila hata kujua sababu ipi ya kusema mkinga mchawi pengine niwambie kitu tu hawa wakinga wamegawanyika tabia kutokana na eneo wanalotoka

Ukienda makete uko kuna maeneo kuna maeneo wanatoka wakinga ambao wao na shule tu hata Biashara hawajui, vile vile lipo eneo ambalo wakinga wao shule hakuna wao ni biashara tu

Sasa hawa wakinga ambao walikosa nafasi ya kusoma shule wengi walijikita kwenye biashara na kwakua wanatoka mazingira magumu wakes ni watu wakuvumilia shida na kuheshimu pesa

Sasa hii zana ya wakinga wachawi inatoka wapi

Ni hivi mkae mkijua jamii nyingi hususani za mijini hupenda sana jishirikisha na imani za kishirikina kwaiyo kipindi mkinga alipofika mjini akawajitafutia akapata akaanza Biashara yake katika nadhani mnajua utafutaji ulivyo kwaiyo mkinga akabaini kumbe kwenye hizi biashara kuna fitna basi mkinga akarudi kwao kukiweka sawa ili kuepuka fitna za kishirikina kibiashara

Sasa kilichotokea kinga ya mkinga ikawa na nguvu zaidi ya wapinzani wake kila aliyemjaribu akishindwa hapo ndio wakaanza mkinga mchawi mchawi ila nani alianzisha ni hao hao makabila mengine maana walitaka mchezea mkinga wakashindwa

Kwaiyo ndugu yangu oa tu wakinga hawana tatizo kabisa kama ushirikina upo tu si kwa wakinga pekee
 
Hivi huwa mnaoa watu au makabila yao?
Afu kwa style hii magufuli bado analalamikiwa kwa kuteua wasukuma wenzake na wkt kumbe kuoa tu watu mpaka waulizane makabila yao.
Murah unashauri tusichek kabila, itakula kwako poti.
 
Bhabhene lokholo! Hilo jina lipo hata kwa kikinga Malafyale, na maana yake ni ile ile. Maneno yetu na yenu mengi yanafanana tunatofautiana kuyatamka tu
Wakinga ni wachapa kazi sana
Wa kike na wa kiume!
 
wakuu,niko katika mahusiano na binti wa kikinga na kwa namna tunavyoenda nimemwahidi kumuoa as soon as possible.ila kabla ya yote naomba kupewa sifa za wasichana wa kikinga ziwe nzuri au mbaya poa tu.

Mke wangu ni mkinga hana shida na ni mwelewa sana. Kazi anafanya hadi unamhurumia. Anapenda biashara siobkidogo. Hapendi mambo ya ajabu ajabu.
Ushirikina ni tabia ya mtu sio kabila.
 
Back
Top Bottom