wasichana wa kabila la wakinga wana tabia gani?

wasichana wa kabila la wakinga wana tabia gani?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,202
wakuu,niko katika mahusiano na binti wa kikinga na kwa namna tunavyoenda nimemwahidi kumuoa as soon as possible.ila kabla ya yote naomba kupewa sifa za wasichana wa kikinga ziwe nzuri au mbaya poa tu.
 
Wako poaaa tuuu kiukweli watiifu sna mi na rafiki yangu kaoa mkinga
 
murah... hao ni mabahir na wachoyo, na ni short chases wengi wao ila uzur wao kiutafutaji wapo vzr nikushauri rudi kwenu kiagata ukaoe wapo wengi tu
mura nataka nichanganye chemical na makabila mengine nione reaction itakuaje.
 
Wakinga kama wakinga ni die hard!!! Yaani hakimbii kitu. Kwenye biashara ni watata sana... Atakomaa adi atoke. Si wa kukata tama kirahisi.
Sifa nyingine ni washirikina saana, unaambiwa mpemba na mkinga hawakai pamoja... Ata kariakoo eneo akiamia mkinga, mpemba atahama tu.
 
Ni wachawi.

Wifi ni mshirikina???
Hapa sio bure kuna kitu,
Kuna mmoja alikuwa anapenda kuniletea keki, pipi na mapocho pocho kibao, tena alikuwa analeta asubuhii ya saa moja na nusu it means kwamba aliandaa hayo mapocho pocho usiku,
Machale yakawa yananicheza kuwa huenda one day ntanasika,
Lakini kuna changes niliziona...
 
Hivi huwa mnaoa watu au makabila yao?
Afu kwa style hii magufuli bado analalamikiwa kwa kuteua wasukuma wenzake na wkt kumbe kuoa tu watu mpaka waulizane makabila yao.
 
Hapa sio bure kuna kitu,
Kuna mmoja alikuwa anapenda kuniletea keki, pipi na mapocho pocho kibao, tena alikuwa analeta asubuhii ya saa moja na nusu it means kwamba aliandaa hayo mapocho pocho usiku,
Machale yakawa yananicheza kuwa huenda one day ntanasika,
Lakini kuna changes niliziona...
Yaani hawa watu hawakosi vitu vya kufanya biashara itoke... Sijui viganja vya watu n.k...
Mambo yao kiboko!!!
 
Ukijifanya kuchepuka tunakutoa kafara
 
Back
Top Bottom