superstar1
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 222
- 176
Wadada mbona hampendi kutoa ushirikiano kwenye research ziazohusu kujamiiana? (love making) Kwa mfano, ukitaka kujua idadi ya changudoa wanaotumia jamiiforums hakuna mtu atakubali kushiriki kwenye research hiyo.
Sasa swali langu la leo naomba mjibu tafadhali ni research serious na nilipojaribu kufanya interview ya ana kwa ana wadada wameshindwa kunijibu ndio maana nimeona nikimbilie huku. Wote niliokuwa nawauliza, hata wafanyakazi wenzangu (wengine ni masters' holders na wengine ni PhD candidates) walikuwa wanacheka tu halafu wanaondoka bila kunijibu.
Swali ni hili. "Kwenye suala zima la kufanya mapenzi, nyie (wadada) mnapenda mpigwe goli moja refuuuuu au mengi mafupi mafupi?"
Matusi noma.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.