Wasichana naomba majibu kwenye hili

Wasichana naomba majibu kwenye hili

Wadada mbona hampendi kutoa ushirikiano kwenye research ziazohusu kujamiiana? (love making) Kwa mfano, ukitaka kujua idadi ya changudoa wanaotumia jamiiforums hakuna mtu atakubali kushiriki kwenye research hiyo!!! Sasa swali langu la leo naomba mjibu tafadhali ni research serious na nilipojaribu kufanya interview ya ana kwa ana wadada wameshindwa kunijibu ndio maana nimeona nikimbilie huku. Wote niliokuwa nawauliza, hata wafanyakazi wenzangu (wengine ni masters' holders na wengine ni PhD candidates) walikuwa wanacheka tu halafu wanaondoka bila kunijibu. Swali ni hili. "Kwenye suala zima la kufanya mapenzi, nyie (wadada) mnapenda mpigwe goli moja refuuuuu au mengi mafupi mafupi?" Matusi noma. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
ronaldinho gaucho the same on the pitch the same in.....
 
Wadada mbona hampendi kutoa ushirikiano kwenye research ziazohusu kujamiiana? (love making) Kwa mfano, ukitaka kujua idadi ya changudoa wanaotumia jamiiforums hakuna mtu atakubali kushiriki kwenye research hiyo!!! Sasa swali langu la leo naomba mjibu tafadhali ni research serious na nilipojaribu kufanya interview ya ana kwa ana wadada wameshindwa kunijibu ndio maana nimeona nikimbilie huku. Wote niliokuwa nawauliza, hata wafanyakazi wenzangu (wengine ni masters' holders na wengine ni PhD candidates) walikuwa wanacheka tu halafu wanaondoka bila kunijibu. Swali ni hili. "Kwenye suala zima la kufanya mapenzi, nyie (wadada) mnapenda mpigwe goli moja refuuuuu au mengi mafupi mafupi?" Matusi noma. Natanguliza shukrani zangu za dhati .[ronaldinho gaucho the sama in the pitch the same in.....]
 
goli 1 la dk 30 ~ 45 ndio mpango mzima hbr za kutundikwa chaap kama mtetea no ladha ni kero na kunipaka shombo buree. Ukiamua kucheza basi cheza kweli na kama utaki kutumika nipshe nisepee
 
Goli moja reeeefu hupigwa direct kutoka goli moja hadi jingine bila kuguswa hapo katikati au? hahahaha (sijawahi onja sex ntakwambia nkishaonja
 
Hakuna long ball apa....ni pasi fupifupi na chenga za maudhi mpaka ufunge goli mtoto keshazungumza lugha 7
 
Moja refu ni zuri sana kuliko manne ya fasta...

kwelieee inategemea hayo mafupi mengi anafunga yeye fasta fasta wewe ukishangaa tu ukishtuka na goli lishang'olewa kiwanjani pa kufungia huna tena, au mnafunga wote kwa pamoja. Bora moja refuuuuu mpira kati chenga ukifunga uko flat
 
Back
Top Bottom