King's daughter
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 690
- 198
siku hizi hawaulizwi miaka wanaulizwa unakaa wapi? ili uweze kujua kama mazingira yanamlinda na majanga haya
Mie npo kijijini bhana nasotajee
siku hizi hawaulizwi miaka wanaulizwa unakaa wapi? ili uweze kujua kama mazingira yanamlinda na majanga haya
Mie npo kijijini bhana nasotajee
We ni mdada?
Linakuwa na pasi chache chenga nyingi....
Mm napenda ka dak 1 tuu refu ni adi niolewe;-)
unasota na nini tena
njoo huku mjini jembe la nini una mashamba?
Haijachakaa kweli mkuu?.Nipe nyingi nyingi ndefu saaafi kabisa umekonga moyo ila nusu nusu kama kuku staki
Aaah,mambo ya kilimo ni ya wazee bana,we njoo mjini,mi ntakupa pa kufikia wakati unajipanga.Hapana, niya baba
Haijachakaa kweli mkuu?.
Nipe nyingi nyingi ndefu saaafi kabisa umekonga moyo ila nusu nusu kama kuku staki
Tatizo wengi wetu hatujui tofauti Kati ya mapenzi na kujamiiana huko ni kujitesa bila sababu kumridhisha demu ni rahisi sana ukiyajua maungo yake
MankaM tatizo inaweza kuwa ndefuu ila haina manjonjo, wala haina matayarisho mazuri hapo ni kuumia tuu. Unakuwa unalalamika akihisi unapata raha kumbe unaumia. Bora hizo short short, au km ni ndefu iwe inamanjonjo asinikaushe fluid bureee nikachubuka
Goli moja reeeefu hupigwa direct kutoka goli moja hadi jingine bila kuguswa hapo katikati au? hahahaha (sijawahi onja sex ntakwambia nkishaonja