Wasichana maskini vs wenye uwezo katika mahusiano

Umenikumbusha dada mmoja alukuwa kalelewa kwenye dini maadili mazuri kweli. Secondary alikuwa hadi HEAD GIRL kutokana na "ulokole" wake. Sasa kimbembe baada ya kuingia chuo. Nakumbuka alikuwa mabibo hostel. Sijui hata nitumie jina gani kumuita maana baada ya kufika darisalama akawa sista duu limbuken. Sijui yuko wapi sikuhizi HG wangui
 
Hii ni kweli. Tabia ya wanawake ni kujilinganisha na wenzao. Wale maskini wakipata hutumia nguvu nyingi kuonyesha walivyonavyo na matokeo yao wanaboa. Kwa maana nyingine wanakuwa limbukeni wakitaka kijionyesha sio washamba.
 
Gharama zako Rubii ndiyo zinaanzia shilingi ngapi!?

Mimi nililelewa mboga 10, sijawahi kukosa chochote kwa wazazi wangu wakati naanza maisha ya mahusiano akili yangu ilikua inawaza nipate penzi tu lakini ilikua tofauti full maumivu na usaliti nikagundua natumika nachakazwa bure wanaume washenzi waongo mambo yakabadilika, Sasa hakuna cha bure tena unaona mwanamke kanoga ujue kuna gharama zimehusika gharamika hutaki tafuta wakununua mmalizane hukoo
No more free Papuchi in the name of love!!
Yaani sasa hivi amani tele! maana ninakupa papuchi ukiwa unaistahili
 
Sio wote japo kwa asilimia kubwa inaweza kuwa hivyo.
Nikiwa Advance kwenye shule moja hapo mjini karibu na kituo cha fire nilisoma na mabinti wanaotokea kwenye familia za hali ya juu...yani pesa kutoka kwa wazazi wao haikuwa shida..
Lakini mabinti hao walikua ni wachafu kuliko mabinti wengine tena walioonekana kutoka familia za hali ya chini.
 
Mimi napinga hoja yako...kuna wasichana wamekulia maisha duni lakini wanamsimamo balaa...na wapo hao wa draft...wahuni na watu wa virungu balaa...nime experience hivyo vitu sana tu personal.. Unakuta msichana malaya...muhuni...lakini unaaambiwa wazazi wake walikuwa na pesa sana..now hawana kitu..ndy mtoto ameshazoea good times.. Sasa anahangaika tu...na pia wasichana waliokulia ktk good times hawana mapenzi ya kweli mkuu...tena wala mimi sishughuliki now....mkuu...pasua kichwa..
 
Angalia hapo kwenye rangi ulichoandika.

Gharama za nini?

Mimi nililelewa mboga 10, sijawahi kukosa chochote kwa wazazi wangu wakati naanza maisha ya mahusiano akili yangu ilikua inawaza nipate penzi tu lakini ilikua tofauti full maumivu na usaliti nikagundua natumika nachakazwa bure wanaume washenzi waongo mambo yakabadilika, Sasa hakuna cha bure tena unaona mwanamke kanoga ujue kuna gharama zimehusika gharamika hutaki tafuta wakununua mmalizane hukoo
No more free Papuchi in the name of love!!
Yaani sasa hivi amani tele! maana ninakupa papuchi ukiwa unaistahili
 
Mimi nililelewa mboga 10, sijawahi kukosa chochote kwa wazazi wangu wakati naanza maisha ya mahusiano akili yangu ilikua inawaza nipate penzi tu lakini ilikua tofauti full maumivu na usaliti nikagundua natumika nachakazwa bure wanaume washenzi waongo mambo yakabadilika, Sasa hakuna cha bure tena unaona mwanamke kanoga ujue kuna gharama zimehusika gharamika hutaki tafuta wakununua mmalizane hukoo
No more free Papuchi in the name of love!!
Yaani sasa hivi amani tele! maana ninakupa papuchi ukiwa unaistahili
Nenda zako mtoto wa mbwa ww...kutoka tandale...kuumizwa kuumizwa tu...atakujiuza bado utaumizwa tu...na sikupendi sasa.ww unajipeleka kwa mwanaume hlf hutaki kusalitiwa...
 
Mwanamtokapabaya wewe! Aliyekwambia nahitaji kupendwa nawewe au watotowalaana wenzio nani??
Hanithiibilisi!!
 
Back
Top Bottom