Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,861
Yap ni kweli ila wakati mwingine umalaya mtu anazaliwa nao.
Pia hii huwa inaenda kiukoo na kikabila
Pia hii huwa inaenda kiukoo na kikabila
Sawa mpenzi,nitakuhudumia kadili ya uwezo wangu.Wanaostahili hawaulizi bei mpendwa
Bado sijakuelewa haya unayoongea ni mada mpya au umekosea mlengwa??
Huyu anatafuta kiki kuwa kakulia mboga ila Ni walewale!....ama kweli kakulia huko kwenye mboga kumi ila aliishia kubwia hizo mboga tu hakupewa misingi ya maisha...ama alikuwa anapewa misingi ya maisha ila alikuwa anafikiri kuwa hatotoka kwa wazazi....Huyu nae Ni muuza NYUCHI in the name of kugaramikia.....kwa hayo maelezo yako mazuuuri wenye kuelewa tumeelewa kuwa km si umestaafu kukaa front line tena kwenye zile mandhari za hadhi yako km vile kimboka,uwanja wa fisi,mku****du buku au masakuuu....basi ume upgrade kwa kuja kutangaza huko...bt all in all nawe muuza NYUCHI.........Mimi nililelewa mboga 10, sijawahi kukosa chochote kwa wazazi wangu wakati naanza maisha ya mahusiano akili yangu ilikua inawaza nipate penzi tu lakini ilikua tofauti full maumivu na usaliti nikagundua natumika nachakazwa bure wanaume washenzi waongo mambo yakabadilika, Sasa hakuna cha bure tena unaona mwanamke kanoga ujue kuna gharama zimehusika gharamika hutaki tafuta wakununua mmalizane hukoo
No more free Papuchi in the name of love!!
Yaani sasa hivi amani tele! maana ninakupa papuchi ukiwa unaistahili
Duh, kama yamekukuta pole sana, aidha uloyasema ni ukweli.Ukweli wanawake wanaotoka familia zenye ugumu wa maisha by nature ni wasumbufu pasua kichwa wengi wao hata ikitokea ukafa jua watoto watajuta.
Wapo wanaojielewa lakini hawahesabiki mno.
Hawa uvivu wao, kudharau watu wao, maringo wao, kila ujinga wao. Wengi wao wanaoshinda mahakamani kuwasumbua waume zao wakiachwa ni hao.
Itokee tu mwanangu kuoa hao wasiojielewa ila ni wasumbufu pasua kichwa.
Huyu anatafuta kiki kuwa kakulia mboga ila Ni walewale!....ama kweli kakulia huko kwenye mboga kumi ila aliishia kubwia hizo mboga tu hakupewa misingi ya maisha...ama alikuwa anapewa misingi ya maisha ila alikuwa anafikiri kuwa hatotoka kwa wazazi....Huyu nae Ni muuza NYUCHI in the name of kugaramikia.....kwa hayo maelezo yako mazuuuri wenye kuelewa tumeelewa kuwa km si umestaafu kukaa front line tena kwenye zile mandhari za hadhi yako km vile kimboka,uwanja wa fisi,mku****du buku au masakuuu....basi ume upgrade kwa kuja kutangaza huko...bt all in all nawe muuza NYUCHI.........
Uwe wa Mungu ktk kukupima mja wake huwa hamuufikiriiiii?.hakuna kutendwa wala upuuzi gn bani Ni kujiuza in soft words..kuna jamaa zetu wengi na wengine kibao walitendwa hd sisi tunawasikitikia.wakaridhika kuwa refarii Sir.GOD ndio kapanga...tukawaongoza kwa ushauri na ibada wakajikita ktk kutafuta pesa in proper way mwisho wakafanikiwa na wakapata wanaume ambao ndio yalikuwa Ni lilio lao katka maombi na sasa wanafurahia maisha.semea wanawake wengi wao hawajitambui....na hawajui mungu huwa anamakusudi yake.Wauza puchi wakubwa haoKinachofanya wadada wengi kupenda pesa kwa sasa ni mahusiano ya nyuma waliyopitia unakuta alilidhika na hali ya mpenz wake akaambulia maumivu
Gud...umeeleza vizuri sana nazani kwa observation yangu haya uliyo andika ya ukweli wa 70%Me sijui nimetokea familia gani teh. But kwa nilichokiobserve sana nikiwa college ni kwamba, wengi wa mabinti waliokuwa wanababaika na wanaume wenye uwezo mitaani ni mabinti waliotoka familia zenye uwezo Ila tu walikuwa na tatizo la kujikweza/kuendekeza dhiki, wanataka waishi maisha ya juu zaidi kuliko reality yao (kumaintain status). Stories za sijui kuna mtu anatoka na kigogo gani, nyingi ni za mabinti wanaojiweza kwao.
Kuna mabinti waliotoka familia zenye uwezo mdogo sana, hilo hilo boom walituma lisaidie nyumbani, hawaoni tabu kula wali maharage semister nzima, and there are times kuna mabinti walikuwa wanaomba kusaidia kufanya usafi cafeteria then wanapewa sahani ya wali (Mungu uwakumbuke watoto wako) na ratiba zao ni room, class, kanisani/msikitini then kulala, ndo wale most kina John kisomo. Wengi wao walikuwa watu wanaojali zaidi dignity zao.
Ingawa wapo wachache pia waliotokea familia dunia then wakajanjarukia vyuoni wee hatari, kama baby uliachwa village ndo sahau mazima, ukimfuata chuo utakanwa teh. But all in all, kuendekeza dhiki; kutoridhika na maisha haina tajiri wala maskini, ni mtu tu binafsi. Happy Easter to you all
Km haya uliyoyaongea ndivyo ulivyo.hongera we unajitambua tena sana.km umeolewa ama una mpenzi nadhani utakuwa Ni mshauri mwema sana kwake km sio pasua kichwa na yy.maana Mungu nae mwingi wa makusudi....Me sijui nimetokea familia gani teh. But kwa nilichokiobserve kidogo nikiwa college ni kwamba, wengi wa mabinti waliokuwa wanababaika na wanaume wenye uwezo mitaani ni mabinti waliotoka familia zenye uwezo Ila tu walikuwa na tatizo la kujikweza/kuendekeza dhiki, wanataka waishi maisha ya juu zaidi kuliko reality yao (kumaintain status). Stories za sijui kuna mtu anatoka na kigogo gani, nyingi ni za mabinti wanaojiweza kwao.
Kuna mabinti waliotoka familia zenye uwezo mdogo sana, hilo hilo boom walituma lisaidie nyumbani, hawaoni tabu kula wali maharage semister nzima, and there are times kuna mabinti walikuwa wanaomba kusaidia kufanya usafi cafeteria then wanapewa sahani ya wali (Mungu uwakumbuke watoto wako) na ratiba zao ni room, class, kanisani/msikitini then kulala, ndo wale most kina John kisomo. Wengi wao walikuwa watu wanaojali zaidi dignity zao.
Ingawa wapo wachache pia waliotokea familia dunia then wakajanjarukia vyuoni wee hatari, kama baby uliachwa village ndo sahau mazima, ukimfuata chuo utakanwa teh. But all in all, kuendekeza dhiki; kutoridhika na maisha haina tajiri wala maskini, ni mtu tu binafsi. Happy Easter to you all