Nina wasiwasi na imani yako na matendo yako....jamni nahuyu nae....yumooooooooo.....Hivi mwanamke aliyekutana na matapeli Wa mapenzi zaidi ya watatu unategemea ataendelea kuwa na true love? Ndomana sikuzote huwa nawashauli wanaume kwa wanaweka kama mtu hujampenda haina haja ya kuwa nae, ndomana mapenzi yanazidi kuwa magumu nw wanawake pesa mbele wanaume ngono mbele.
Ni kweli mwanaume tunapenda Mara moja tuu the rest ni tamaa so hili halina solution mi naona kila MTU alaumiwe kwa upande wake sikuhizi tumekua vimeo sasa na wenyew wafanyeje hii iwe bampa 2 bampa potelea mbali maana Hamna namna sasa...Sio wote tuliotoka kwenye familia masikini tupo hivyo,wapo wengi wanajitambua na wala hawana ulimbukeni wa vitu ila tatizo siku hz hakuna wanaume wenye mapenzi ya dhati.
Wema Mzuri???Wema sepetu hana dharau, ila ni mzuri sasa kawaida wanawake wazuri hata kama haringi anazushiwa mengi. Kuhusu mapenzi kwa wema hiyo ni demokrasia kama tunavyochagua na yeye anachagua, yuko sawa.
Nimemuona akiwa hana wiji kanyoa upara. Chanda chema huvikwa pete, acha mambo yake mengine kama yapo wema ni mzuri.Wema Mzuri???
Hahaa, kweli make ups zinachanganya,
Ushawahi kumwona bila wigi na make up alivyo? Dah!
hahahaha uwiii uyo ndo tubii bwanaMimi nililelewa mboga 10, sijawahi kukosa chochote kwa wazazi wangu wakati naanza maisha ya mahusiano akili yangu ilikua inawaza nipate penzi tu lakini ilikua tofauti full maumivu na usaliti nikagundua natumika nachakazwa bure wanaume washenzi waongo mambo yakabadilika, Sasa hakuna cha bure tena unaona mwanamke kanoga ujue kuna gharama zimehusika gharamika hutaki tafuta wakununua mmalizane hukoo
No more free Papuchi in the name of love!!
Yaani sasa hivi amani tele! maana ninakupa papuchi ukiwa unaistahili
Madini matupuMe sijui nimetokea familia gani teh. But kwa nilichokiobserve kidogo nikiwa college ni kwamba, wengi wa mabinti waliokuwa wanababaika na wanaume wenye uwezo mitaani ni mabinti waliotoka familia zenye uwezo Ila tu walikuwa na tatizo la kujikweza/kuendekeza dhiki, wanataka waishi maisha ya juu zaidi kuliko reality yao (kumaintain status). Stories za sijui kuna mtu anatoka na kigogo gani, nyingi ni za mabinti wanaojiweza kwao.
Kuna mabinti waliotoka familia zenye uwezo mdogo sana, hilo hilo boom walituma lisaidie nyumbani, hawaoni tabu kula wali maharage semister nzima, and there are times kuna mabinti walikuwa wanaomba kusaidia kufanya usafi cafeteria then wanapewa sahani ya wali (Mungu uwakumbuke watoto wako) na ratiba zao ni room, class, kanisani/msikitini then kulala, ndo wale most kina John kisomo. Wengi wao walikuwa watu wanaojali zaidi dignity zao.
Ingawa wapo wachache pia waliotokea familia dunia then wakajanjarukia vyuoni wee hatari, kama baby uliachwa village ndo sahau mazima, ukimfuata chuo utakanwa teh. But all in all, kuendekeza dhiki; kutoridhika na maisha haina tajiri wala maskini, ni mtu tu binafsi. Happy Easter to you all
Me sijui nimetokea familia gani teh. But kwa nilichokiobserve kidogo nikiwa college ni kwamba, wengi wa mabinti waliokuwa wanababaika na wanaume wenye uwezo mitaani ni mabinti waliotoka familia zenye uwezo Ila tu walikuwa na tatizo la kujikweza/kuendekeza dhiki, wanataka waishi maisha ya juu zaidi kuliko reality yao (kumaintain status). Stories za sijui kuna mtu anatoka na kigogo gani, nyingi ni za mabinti wanaojiweza kwao.
Kuna mabinti waliotoka familia zenye uwezo mdogo sana, hilo hilo boom walituma lisaidie nyumbani, hawaoni tabu kula wali maharage semister nzima, and there are times kuna mabinti walikuwa wanaomba kusaidia kufanya usafi cafeteria then wanapewa sahani ya wali (Mungu uwakumbuke watoto wako) na ratiba zao ni room, class, kanisani/msikitini then kulala, ndo wale most kina John kisomo. Wengi wao walikuwa watu wanaojali zaidi dignity zao.
Ingawa wapo wachache pia waliotokea familia dunia then wakajanjarukia vyuoni wee hatari, kama baby uliachwa village ndo sahau mazima, ukimfuata chuo utakanwa teh. But all in all, kuendekeza dhiki; kutoridhika na maisha haina tajiri wala maskini, ni mtu tu binafsi. Happy Easter to you all
Wema mzuri??? Dah! Haya!Nimemuona akiwa hana wiji kanyoa upara. Chanda chema huvikwa pete, acha mambo yake mengine kama yapo wema ni mzuri.
Thank you black beauty, u were missedUmeongea vizuri sn mamie, Happy Easter to you too!
kabisaaaaaaNinakubaliana na observation yako, kwa mtaani sijui sana ila college life ni kama ulivyosema. Hata hao watoto wa kimasikini wanaojaribu kujanjaruka wengi wanakuwa wamebadirishwa na hao watoto wa mboga kumi.
Mwacheni mtoto wawatu. Huenda anaingia katika mahusiano kwakutegemea yata develop, namwisho kua disappointed. Anapata mwengine hivyo hivyo mwisho anaonekana hafai. Maana hakuna mwanamke anaingia katika mahusiano kwajili ya ku pass time ila inatokea tu. Regardless rich or poorMbona wema sepetu katoka family mboga kumi lakini fagio la mji ukimwonyesga elfu kumi tu?
Tabia ya mtu haijalishi katoka pangu pakavu au mboga saba
Thank you black beauty, u were missed