Mkinitupia mawe natoka mbioo
Tukikutana na wanaume huwa often tunaangalia pochi,kazi,sura ya kime nk ...tunasahau kabisa kigezo cha UZURI/UHANDSOME.....matokeo yake ni kuzaa watoto wenye features/wasifu....wenye mushkeli kidogo,and as a result wanaishia kuwa BULLIED na kuwaondolea KUJIAMINI.....
wasichana tuna haki ya kchagua watu wenye wasifu kama wanaume wanavyotuchagua kwa SHAPE/SURA na kigezo cha 'UHANDSOME'...kisiwe OVERLOOKED tafadhali.....
Tukikutana na wanaume huwa
often tunaangalia pochi,kazi,sura ya kime nk ...tunasahau kabisa kigezo
cha UZURI/UHANDSOME.....matokeo yake ni kuzaa watoto wenye
features/wasifu....wenye mushkeli kidogo,and as a result wanaishia kuwa
BULLIED na kuwaondolea KUJIAMINI.....
wasichana tuna haki ya kchagua watu wenye wasifu kama wanaume
wanavyotuchagua kwa SHAPE/SURA na kigezo cha 'UHANDSOME'...kisiwe
OVERLOOKED tafadhali.....
to mee to much handsome no so long as awe ni mrefu uzur watanifanana mm
Mkinitupia mawe natoka mbioo
Mkuu ulitaka kusema nini?
Japo ni uhuru wa maoni lakini angalia usikosoe uumbaji wa Mungu kumbuka hujafa hujaumbika
Pole mkuu km imekugusa,mie siku zote nilijua wewe ni handsome???usijali vigezo vya uhandsome vinatofautiana ntu na ntu,unaweza ukawa sio handsome kwangu,ukawa kwa mwingine.....
Mkuu ulitaka kusema nini?
nothing mkuu,nilitaka tu kusema we ni strong woman usikimbie okay?
imaney nimetoa maoni yangu tu, unajua kuna watu walizaliwa maHB wa ukweli sana lakini maajaliwa ya muumba na mitihani ya dunia leo hii ukiwaona utawahurumia mnoPole mkuu km imekugusa,mie siku zote nilijua wewe ni handsome???usijali vigezo vya uhandsome vinatofautiana ntu na ntu,unaweza ukawa sio handsome kwangu,ukawa kwa mwingine.....
Kwani amesema anajitetea yeye hapo...ye kasema ukweli anaoujua regardless ye yukoje
Mkinitupia mawe natoka mbioo 😆
Unapochunguza vigezo hivyo ni vizuri ukajiangalia na wewe upoje....af ukiolewa na baba mzuri una uhakika wa sura za watoto wako zitakuwaje???
Umenikumbusha kuna siku mwalimu alitoa mfano kama huo darasani...... Alisema kuna kijana alikuwa na machaguo mawili ya kuoa. Chaguo la kwanza mdada alikuwa sura ndo vile tena ila kichwani yuko fit vibaya mno. Mwingine alikuwa mashallah ila kichwani ziro....kijana yeye alikuwa sura ya hivyohivyo tu ila kichwani yuko fit. Akapiga calculation za kibinadamu akasema ntaoa huyu mzuri mtoto akizaliwa atachukua sura ya mama na akili atachukua ya kwangu (as if yeye ndo anaumba na kugawa vipawa) Akaoa ila mtoto alipozaliwa matokeo yakawa tofauti...akili ya mama sura ya baba.
Wakati mwingine tuwe tunaacha nature iamue sio kila kitu ni cha ku-calculate.