IO,
Shukran kwa ushauri wako, nadhani nia kubwa ya maelezo yangu sio ku-defend waislaam isipokuwa kueleza kwa kina makusudio ya JKN. Bila mifano kama hii kuna watu ambao hawaoni mbali, kwani mtu akisha sema JKN alitaifisha shule za wakristu kwa sababu ya waislaam. Sidhani kama kuna lugha nyepesi ya ku deny hoja hiyo. Ukisema hii sio kweli ila kwa sababu Watanzania wote wapate kusoma bado utakuwa umeacha pengo kubwa, point itakuwa na upungufu. Lakini unapotoa mfano mwingine kama huo wa wahindi! mtu hujiuliza na kupata the truth. kweli wahindi nao walitaifishwa shule zao, sio uongo na nini yalikuwa makussudio ya JKN ikiwa za mkoloni ni kwa sababu ya waislaam.
Pili, maelezo yangu yote ni kujaribu kuwapa mwanga Watanzania wenzangu waondokane na hii habari za dini kwani zote zilikuja na athari zake.
Nathubutu kusema kwamba shule za waarabu zote Unguja zilikuwa na athari kubwa ya kueneza tamaduni zao ikiwa ni pamoja na dini yao - Uislaam. Nimeupokea Uislaam kama elimu na hata siku moja siwezi kusimama na kuwatetea waarabu ati kwa sababu ni waislaam bila kujali truth ya matukio yenyewe. Udini ni pale mtu anapotumia dini kuwa kitenganisho chake na mtu mwingine kuleta tofauti baina yao.
Interested Observer,
Nadhani hii sio mara yako ya kwanza kusikia hotuba ya- Slave master Muingereza akijulikana kwa jina William Lynch. Huyu mzungu alikuja Marekani kutoka visiwani kuwapa mbinu za ku-control watumwa baada ya wazungu Wamarekani kushindwa kuwa -control watumwa. Hii ni miaka 300 iliyopita lakini hadi leo hotuba bado inaendelea kwa kuchukua mkondo mpya. -DINI.
Nitaiweka hapa kwa kiingereza na isomeni kwa makini kisha jitazameni tumesimama wapi? - kumbuka hata neno Lynching yaani kunyonga kwa kuning'inizwa limetokana na jina lake. Mbaya kuliko yote mtu huyu katumia dini kwa faida yake na hii inamuondoa kabisa mtu huyu ktk Ukristu.
Alisema:-
"Gentlemen, I greet you here on the bank of the James River in the year of our Lord one thousand seven hundred and twelve. First, I shall thank you, the gentlemen of the Colony of Virginia, for bringing me here. I am here to help you solve some of your problems with slaves. Your invitation reached me on my modest plantation in the West Indies where I have experimented with some of the newest and still the oldest methods of control of slaves.
Ancient Rome would envy us if my program were implemented. As our boat sailed south on the James River, named for our illustrious King, whose version of the Bible we cherish. I saw enough to know that your problem is not unique. While Rome used cords of woods as crosses for standing human bodies along its highways in great numbers you are here using the tree and the rope on occasion.
I caught the whiff of a dead slave hanging from a tree a couple of miles back. You are not only losing a valuable stock by hangings, you are having uprisings, slaves are running away, your crops are sometimes left in the fields too long for maximum profit, you suffer occasional fires, your animals are killed.
Gentlemen, you know what your problems are: I do not need to elaborate. I am not here to enumerate your problems, I am here to introduce you to a method of solving them. In my bag here, I have a fool proof method for controlling your Black slaves. I guarantee everyone of you that if installed correctly it will control the slaves for at least 300 hundred years. My method is simple. Any member of your family or your oversee r can use it.
I have outlined a number of differences among the slaves: and I take these differences and make them bigger. I use fear, distrust, and envy for control purposes. These methods have worked on my modest plantation in the West Indies and it will work throughout the South. Take this simple little list of differences, and think about them.
On top of my list is "Age", but it is there only because it starts with an "A": the second is "Color" or shade, there is intelligence, size, sex, size of plantations, status on plantation, attitude of owners, whether the slave live in the valley, on hill, East, West, North, South, have fine hair, coarse hair, or is tall or short. Now that you have a list of differences. I shall give you an outline of action-but before that I shall assure you that distrust is stronger than trust and envy is stronger than adulation, respect, or admiration.
The Black slave after receiving this indoctrination shall carry on and will become self re-fueling and self generating for hundreds of years, maybe thousands. Don't forget you must pitch the old Black male vs. the young Black male, and the young Black male against the old Black male. You must use the dark skin slaves vs. the light skin slaves and the light skin slaves vs. the dark skin slaves. You must use the female vs. the male, and the male vs. the female. You must also have your white servants and overseers distrust all Blacks, but it is necessary that your slaves trust and depend on us. They must love, respect and trust only us.
Gentlemen, these kits are your keys to control. Use them. Have your wives and children use them, never miss an opportunity. If used intensely for one year, the slaves themselves will remain perpetually distrustful. Thank you, gentlemen."