Washauri

Washauri

Na wingi wa student 50 , classroom kwa ticha mmoja !
Aidha wingi wa abiria wa train kwa dereva mmoja!
Pia wingi wa raia kwa maafande kiduchu!
Hujaona ?
 
Na ukiwaendekeza wanakuingiza chaka vibaya sana. Ukitoka kwa dr unawahi google ku-confirm.
 
Na ukiwaendekeza wanakuingiza chaka vibaya sana. Ukitoka kwa dr unawahi google ku-confirm.

Umaeona eeh! Kwa maisha haya bora ujue kila kitu... Washauri wengi miyeyu balaa
 
Kiparaakp hivi mtihani wa la saba uliofanya juzi umejiandaaje na matokeo? Uwe unafanya twisheni mara kwa mara. Sawa eeh?
 
Last edited by a moderator:
Kiparaakp hivi mtihani wa la saba uliofanya juzi umejiandaaje na matokeo? Uwe unafanya twisheni mara kwa mara. Sawa eeh?

nime jiandaa kwa ushindi wa 3 - 2(baraza) kwa sababu nilikuwa nacheza 4-4-2
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom