Washabaki wengi wa mpira bongo wana matatizo ya akili?

Washabaki wengi wa mpira bongo wana matatizo ya akili?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,302
Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyoongea, kuandika, katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu ya timu zao za mpira.
 
Ni kweli, ukiwakuta mapovu yanavyowatoka wakibishana utazani wamerukwa akili na ndio maana watawala hufurahi mno kuona wajinga wengi wakijazana kwenye vijiwe vya kahawa na magazeti wakibishana mambo ya Simba na yanga huku wakipitwa na mambo ya msingi yahusuyo mustakabali wa taifa letu.
 
Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyongea, kuandika na katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu ya timu zao za mpira.
iyo true na watz wengi wanawaza simba na yanga na ndo vitu wanavyoweza kujadili na kuwaunganisha ila sio vitu vingine vya maendeleo binafsi au ya nchi
 
Tumeshatoka kwenye Bench za Mlunda Sasa tunakuja kujibu shutma.
 
kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake

Nimeandika nini? ? Mhh muda wangu ushafika
 
Ila hawa washabiki wengi wa mpira ni kama wamechanganyikiwa muda wote.
Watu wanakusanya stress za ndoa biashara madeni ukiongezea na za mpira we unahisi nini kitatokea kama sio bomu la nyuklia
 
Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyongea, kuandika na katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu ya timu zao za mpira.
Football fanatics
 
Kila leo mimi nasema hapa mnaniona Bwege.

Akili zimeanza kuwaamka watanganyika.

Asante
 
Back
Top Bottom