Washa Taa Mchana (HODi) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Washa Taa Mchana (HODi)

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Nyakarungu, May 5, 2011.

 1. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  NIMEFANIKIWA KUSAJIRI NGO YA KIJAMII,ITAKAYOJIHUSISHA NA UTETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KWA MASUALA YA AFYA.

  INAITWA NYUMBA YA UTU (HOME OF DIGINITY (HODi)).


  pamoja na kutetea haki za kiafya za binadamu pia itatoa elimu ya uelewa kwa jamii anuai.
  itafanya kazi mkoa wa mara, na baadae itaweza kukua na kufikia maeneo mengine.

  Mungu ibariki ari na nguvu hii.

  kauli mbiu ya washa taa mchana itatumika pia.
  mimi ni mwenyekiti wa board yake nikiwa mwanzilishi.
  mengine nitawajuza kadri muda unavyokwenda.

  Tabibu Grayson M. Nyakarungu.
   
 2. K

  KIJIGOJUNIOR Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyakarungu,

  Ni mwanzo mzuri kupigania health rights. Nadhani ninaweza pia saidia kwa njia moja au nyingine kufanikisha malengo ya NGO hiyo. Tuwasiliane kupitia abilaiabilai@live.com
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nini maana yake WASHA TAA MCHANA?
   
 4. M

  Mbwazoba Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  goo kijana goooo,ila take care of politics isiingie humo,ukihusisha saisa tu, umekwisha.
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Karibu sana
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Karibu mkuu JF.
   
Loading...