Tetesi: Wasanii wengi kumfuata Wema Sepetu, CHADEMA kuweni makini

Nimekutana na ufisa mmoja wa usalama anasema chadema ni kundi hatari sana kuweza kutokea. lina mashushushu wenye ujuzi wa hali ya juu sana ndio maana unakuja wapo well informed kila Siku. unaweza fhani cdm inakufa Leo lakini cha ajabu unakuta mambo yanaenda tuu ..
 
Ninamashaka kama Wema anamiliki kundi la wasanii na kwamba ni damu damu mpaka kuamua kumfuata popote pale aendepo.

Wema anaweza kuwa mpiganaji mzuri lakini anaweza kupaki peke yake kama msanii mpiganaji.

Watanzania wa nchi hii ninawafahamu vizuri.
 
vichwa vya habari kwenye magazeti ya hapo kesho.....

wema kaapa kutokurudi CCM....
hayawi hayawi wema nduki CDM...
mzimu wa toraka uje waitesa CCM....
wema akimbilia CHADEMA, wengine BONGO MOVIE wako mbioni...
mazito aliyonena wema sepetu....
unabii umetia wema aamiha CHADEMA....

gazeti pendwa : wema karuka mkojo kakanyaga n'nya...
 
sipati picha hayo mafuriko ya 2020 ya wema na lowassa aisee! ccm hawachomoki kudadeki
 
h0zvBdSHaMPxdpZESveaQucOUO9VWT9a0yoOVvfSeS224U24PsWCw_JzpEgvT2VoAMnOYg_O_UH4tmMNf42HcwzYoM_78IrQAfc8tptzgC9_aSj7bBw=s0-d-e1-ft
 
AKUFAAE KWA DHIKI NDO RAFIKI.MUONE JINSI ATAKAVYOSAIDIWA KESI YAKE NA LISSU MTABAKI MIDOMO WAZI.WEMA BORA UMETAMBUA MAPEMA KULEEEE HAKUNA WA KUKUFUTA MACHOZI
umesema kweli tupu, kakosa hela ya wakili, nao wanamtumia kwani hawana pa kuuza sura zaidi ya mahakamani
 
alie weka thamani sawa ya kura kwa watanzania alikosea sana.

haiwezekani bendera fata upepo, mtu asiye na uwezo wa kufikiria kura yake kuwa na thamani sawa na anayefikiria.

hao wasanii ni bendera fata upepo (kama ni kweli) maana hawajui nini kinawapeleka huko zaidi ya kumfata wema
Wamejitambua ila wewe bado hujajua nini kinakuweka huko
 
Mbowe wakati wa kumpokea lowasa alisema lowasa ataleta wanachama wapya Chadema milioni 2 toka CCM walishakuja?
Ukitaka kujua kama walikuja au bado fanya hivi chukua kura za Dr Slaa 2010 Lipumba na mgombea wa NCCR Mageuzi za 2010 alafu linganisha na kura alizopata lowasa 2015 jibu utapata
 
Mbowe wakati wa kumpokea lowasa alisema lowasa ataleta wanachama wapya Chadema milioni 2 toka CCM walishakuja?
Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi
2010 Dr. Slaa alipata kura 2,271,942
2015 E. Lowassa alipata kura 6,072,848
Ikiwa unajua hesabu hata za darasa la pili utajifunza kitu hapo
 
Hivi ni msaanii gani atahama ssm aumize kichwa mtu sasa hivi?? Steve nyerere au nani hawa huwa wanatumiwa na kutupwa kama CONDOM hamna msanii mwenye powerful mind nchii..
Diamond mmemvuruga nae anavaa gwanda...wema+diamond =6m wafuasi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom