Tetesi: Wasanii wengi kumfuata Wema Sepetu, CHADEMA kuweni makini

Msiwaamini sana hawa wasanii..
Wanajali zaidi matumbo yao..
Hata wema uchaguzi ujao hautafanyika akiwa Chadema.. Mtaifufua hii post!
Wako huru kuhama, kwenda kokote, vyovyote. Tatizo ni nini? Nawe uko huru hivyohivyo. Kama wako wasita kuutumia, hilo lako?
 
Mmh, me nashangaa sana mnavoshupalia swala la wema kuhama ccm, wamihama wangap waliokuwa mpaka na vyeo vyao ccm na ccm bado iko ngangar mpaka leo! Itakuwa wema ambae hajawah kuwa hata mjumbe wa nyumba kum? Kaamuulizen kingunge atawaambia
Hayo maneno hata mwandoshya alivyopigwa uwembe dom, aliyaongea , kwa hiyo si mageni masikioni mwetu.
 
Wako huru kuhama, kwenda kokote, vyovyote. Tatizo ni nini? Nawe uko huru hivyohivyo. Kama wako wasita kuutumia, hilo lako?
Huwa sipendezwi sana na watu wanaoniquote bila kujua "mantiki" ya kile nilichoandika na wao kujiandikia vitu vingine tofauti kabisa!
 
Hivi ni msaanii gani atahama ssm aumize kichwa mtu sasa hivi?? Steve nyerere au nani hawa huwa wanatumiwa na kutupwa kama CONDOM hamna msanii mwenye powerful mind nchii..
 
Hii taarifa imenaswa mahali kua kuna kundi kubwa la wasanii muda si mrefu wataungana na msaani mwenzao Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA, kundi hilo linadaiwa kua na wasanii maarufu nchini hasa wale wanachama wa CCM kujumuisha bongo moviez na Mziki. Ni wale ambao kwa kiasi kikubwa walishiriki kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2015.

Sababu kuu ya wao kufikia maamuzi hayo kutoridhishwa na jinsi ambao wenzao wanaadhibiwa kwa tuhuma za kujihudisha na Madawa ya kulevya bila ya kua na ushahidi tena kwa kuwadhalilisha hadharani bila kufuata taratibu za kisheria. Sababu nyingine wamedai kutelekezwa na chama chao mama ambacho walikipa nguvu kwa kiasi kikubwa wakati wa kampeni na hata wengine kutotimiziwa madeni yao hivyo hawaoni faida kuendelea kubaki mahali pasipo na shukrani.

KWAANINI CHADEMA WAWE MAKINI?

Inasemekana kua ndani ya kundi hilo kuna wale wasanii ambao walituhumiwa kulipwa tshs million 2 kila mmoja ili kunogesha ile press ya kijana mpambanaji wa Madawa ya kulevya, swali la kujiuliza kama kweli walilipwa mil 2 kila moja, je wameshavuta halafu wanasepa au kuna mchezo unachezwa ili kufumba hilo suala la mgao wa pesa hizo kuepuka kumtia mtu aibu juu ya uhalisia wake na nia yake ya kupambana na madawa?

Hivyo hilo suala CHADEMA katika kuwapokea wageni wawe makini sana, isijekua ni mafuriko ya msimu tu.
Mbowe wakati wa kumpokea lowasa alisema lowasa ataleta wanachama wapya Chadema milioni 2 toka CCM walishakuja?
 
Ccm bana wanajifanya hawajari Wema kukihama chama chao wakati comments zao zimejaa panic
 
Ukitaka kujua wema hapendwi hata na wasanii wenzio wa bongo movie fuatilia taarifa za msiba wa baba yake..hata huyo kajala aliyempa kampani enzi za msiba sasa ni chui na paka..huyo amempata mama ake tu basi..
 
Hii taarifa imenaswa mahali kua kuna kundi kubwa la wasanii muda si mrefu wataungana na msaani mwenzao Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA, kundi hilo linadaiwa kua na wasanii maarufu nchini hasa wale wanachama wa CCM kujumuisha bongo moviez na Mziki. Ni wale ambao kwa kiasi kikubwa walishiriki kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2015.

Sababu kuu ya wao kufikia maamuzi hayo kutoridhishwa na jinsi ambao wenzao wanaadhibiwa kwa tuhuma za kujihudisha na Madawa ya kulevya bila ya kua na ushahidi tena kwa kuwadhalilisha hadharani bila kufuata taratibu za kisheria. Sababu nyingine wamedai kutelekezwa na chama chao mama ambacho walikipa nguvu kwa kiasi kikubwa wakati wa kampeni na hata wengine kutotimiziwa madeni yao hivyo hawaoni faida kuendelea kubaki mahali pasipo na shukrani.

KWAANINI CHADEMA WAWE MAKINI?

Inasemekana kua ndani ya kundi hilo kuna wale wasanii ambao walituhumiwa kulipwa tshs million 2 kila mmoja ili kunogesha ile press ya kijana mpambanaji wa Madawa ya kulevya, swali la kujiuliza kama kweli walilipwa mil 2 kila moja, je wameshavuta halafu wanasepa au kuna mchezo unachezwa ili kufumba hilo suala la mgao wa pesa hizo kuepuka kumtia mtu aibu juu ya uhalisia wake na nia yake ya kupambana na madawa?

Hivyo hilo suala CHADEMA katika kuwapokea wageni wawe makini sana, isijekua ni mafuriko ya msimu tu.
Hivi CDM ndio limekuwa chaka la wachumia tumbo, wabwia unga na wauza sembe?I don't think they are so blind.Wananchi sio vipofu na wajinga wanaona.Labda kama they don't dream of going to Magogoni.
 
Yaani kabinti kadogo kanawatoa povu hivi?kweli mmeishiwa,na jinsi jamaa hana mvuto kwa watu 2020 kazi mnayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom