Fahamu haya kuhusu Langa Kileo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
LANGA alikuwa Msanii wa Hip-hop hapa Bongo,Alijulikana sana kupitia mashindano ya Coca-cola Pop Star akiwa na wenzie,1.Sarah Kaisi - Shaa2. Witnes Mwaijage - Witness3.Langa Kileo - LangaNgoma yao iliyowatambulisha kama kundi ni Hoi Ilifanya poa sana.

Hawakuishia hapo tu wakaja kutoa ngoma nyingine ya Swangilishi,Hii ngoma ilienda mno na ilifanya poa,Kwa wakati huo hata ambao walikuwa hawapend mzik wa kufoka waliikubal,Walichana vitu vya maana mno humu,Chek kidogo Marehemu Langa kitu alichofanya kwenye hii ngoma.

Kama ilivyo kwa makundi kipind hicho yalikuwa hayadumu sana ndo ikawa hivyo hata kwa kundi hili la wakilisha,Kundi hili lilianza kumeguka baada ya Sarah kuamua kujito kwenye hili kundi,Na baada ya kujitoa hili kundi likabak na watu wawili na kuamua kujiita Wakili.

Nakumbuka XXL kipindi hicho anapigiwa simu sarah na segment ya 255 alisema yy katoka na kundi likabak kuwa wakili,So yy akasema kumbe alikuwa kasimama kwenye neno "Sha" na kuamua kujiita hivyo Shaa mpaka leo,Kwa sasa Sarah ni Baby mama wa Master Jay,Alitoa ngoma nyingi tu.

Walipobaki wawili yaan Witness na Langa nao hilo kundi halikudumu,Wakaja wakatengana na kila mtu kuanza kufanya kazi peke yake,Langa akaja na Ngoma ambayo ilimtambulisha East Africa yote,Ngoma inaitwa matawi ya Juu,ilimpa Tuzo hii ngoma ya "Kisima award "Matawi ya juu.

Hii ngoma ya matawi ya juu ilimtambulisha mno Langa,Nakumbuka hii ngoma ndo ilikuwa ya Kwanza kufanyiwa jiwe la Week Clouds FM na BDozen, Kipind hik B dozen alikuwa anafanya kipind cha FLAVA kilikuwa kikianza saa tatu na nusu UsikuKipind hicho wanasoma mistar yote ya ngoma.

Langa kwenye mziki wake aliwahi kutoa ngoma nyingi sana ikiwemo,Gangster, Rafik wa kweli,naposimama,Pipi ya kijiti,kifo jela taasisi,mashujaa,matawi ya juu na nk.Ghafla kimya kikatawala kwenye mzik wake na kuwa hasikiki kabisaa,Hatukujua behind nini kilitokea.

Tulikuja kujua baada ya kusikia kwa Jay moe kwenye Ngoma yake ya jipange,Jay moe alimchana Langa kuwa anatumia Dawa za kulevya,Nanukuu mistar Hiyo "Amani kwa kaka Voda millionea washtue wadogo zako waache poda wale mmea"

Huo mstar wa Ngoma ilikuja kujibiwa na Langa kwenye ngoma yake ya Gangster,Nanukuu"Amani kwa kaka Voda millionea , Mwambie mdogo wako aache Ushoga na umbea"

Baadae lakin Langa alikuja kukir kweli alikuwa akitumia dawa za kulevya,Siku hiyo alikuwa akitambulisha ngoma yake kwenye XXL Clouds. Alikili kuwa alikuwa mteja kwa miaka mitano na kuwa ameacha na kuja na foundation yake kusaidia wateja kuacha kumoka

Kwenye hiyo ngoma ya kifo jela taasisi Langa alimaliza hiyo bifu ya kuchanana na Jay moe,Maana alikiri kuacha madawa kabisa,Nanukuu"Amani kwa kaka Voda millionea, mwambie nimeacha poda na sili mmea"

Kwenye hiyo ngoma pia aliwapitia kikos cha mizinga baada ya kikos cha mizinga kikiongozwa na pina walipotoa ngoma ya hiphop bila madawaKwenye hiyo ngoma,video yao waliandika mabango ya wasanii waliokuwa wakitumia madawa kipind hicho Ngwair,Nako2nako,Ray C na Langa

Pia Jay moe anasema alilia sana siku ya mazishi ya Langa,Maana bifu yao iliisha na walipanga kutoa ngoma ila haikuwa Alisema alipokuwa akifanyiwa mahojiano na Lil Ommy kipind hicho yupo times FM kwenye kipind cha the Playlist.

Isivyo bahati 15-06-2013 Langa kileo alitutoka,Aliugua ghafla malaria na alifarik akiwa wanapatiwa matibabu. Hii hapa ndio safar ya mwisho ya Langa alipozikwa kwenye makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam.

Mwisho.

1702447367667.jpeg

https://twitter.com/Nyandamalulu/status/1734449240032592345/photo/1
 
View attachment 2841148

View: https://twitter.com/Nyandamalulu/status/1734449240032592345/photo/1

Uko vzr, mleta mada jazia na hii
 
Attachments

  • 1702544298677.jpg
    1702544298677.jpg
    35.6 KB · Views: 11

Similar Discussions

Back
Top Bottom