Hawa vijana wamepata umaarufu kupitia vijana wenzao tukaacha muziki wa kimagharibi na kununua kazi zao za sanaa na kuhudhuria matamasha yao leo hii wanatuona sisi hatunazo na MIRAJI na BABA yake ndo wa maana................NATOA HOAJA TUWATOSE NA TUSAMBAZE KAZI ZAO BURE KWENYE MTANDAO...........
Wewe kweli ndio hujui maana ya demokrasia...hiki unachokipigania hakiitwi demokrasia bali ni ufashisti...Demokrasia ni pamoja na kukubali kutofautiana...kama wao waliona ni bora kuwapigia debe CCM ni haki yao kama ambavyo wewe ulipoamua kupigia debe chama kingine...
Na kampeni zote walizokuwa wanaipigia CCMhalafu leo waipigie CHADEMA ni wanafiki sana
ndo maana watoto wenu wakiwa majambazi na kuwaletea pesa mnawaficha.Jamani, acheni hasira. Wale ni watanzania wenzetu. Tusibaguane kwasababu ya siasa. Wanatafuta hela wale, na pengine walimchagua dr. Slaa.