Hiki kizazi cha mziki wa Bongo Fleva kikipewa tension na maskio mazuri naiona Bongo kama Nigeria

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Inasikitisha sana licha ya Tanzania kuwa Taifa lenye vijana wengi wenye vipaji vingi pia.

Lakini hatuna vijana wengi wanaojulikana kimataifa kama mataifa mengine, Tukiangalia mataifa mengine Kama Nigeria ndio taifa ambalo msanii anatoa hit song moja ila anahit na kuwa nominated kwenye tuzo kubwa na value yake ya kuperform inapanda na kupita hata wasanii wakubwa mfano mzuri ni watu akina REMA, SIMI, na wengineo, ambapo hata hao wasanii wakubwa Nigeria miaka hiyo walitambulika na kupata umaarufu kwa ngoma moja tu.

Ila hapa nimegundua sio kwamba hatuna vipaji ila tatzo Bongo Uteam unaponza sanaa yetu kias kwamba wasanii wazuri ambao hawafungamani na Team yeyote hawazingatiwi.

Kuna kizazi hiki cha vijana ambao wametoka 2022,-2024. Kusema kweli ni vijana wanaojua mziki sana ila cha ajabu naona attension imeshuka tena kwao yaani msanii mchanga anaonekana tayari keshazeeka kwa sababu hazingatiwi tena

1. Dayoo
2. Lody music
3. Lony music
4. Ronze
5. Michu,
6. Mapanch BMB
7. B2K
8. Mavokali
9. Platform
10, Bryban.

ONGEZA AMBAO NIMESAHAU HAPA...
 
_20240111_175248.JPG
 
Kwa, hapa, kwetu, hata, taasisi za, serikali, ambazo inabidi zisimqmie hii kitu, zimelala tu, watu wanawaza mishahara, na kufungia wimbo tu, ccm inachowaza ni kuwatumia wasanii kufanya kampeni, sio kuwaendeleza,
Unahitaji, kutumia organs zote za serikali, intelijensia, diplomasia,political sayansi, kukuza mziki wwetu
 
Inasikitisha sana licha ya Tanzania kuwa Taifa lenye vijana wengi wenye vipaji vingi pia,

Lakini hatuna vijana wengi wanaojulikana kimataifa kama mataifa mengine, Tukiangalia mataifa mengine Kama Nigeria ndio taifa ambalo msanii anatoa hit song moja ila anahit na kuwa nominated kwenye tuzo kubwa na value yake ya kuperform inapanda na kupita hata wasanii wakubwa mfano mzuri ni watu akina REMA, SIMI, na wengineo, ambapo hata hao wasanii wakubwa Nigeria miaka hiyo walitambulika na kupata umaarufu kwa ngoma moja tu,

Ila hapa nimegundua sio kwamba hatuna vipaji ila tatzo Bongo Uteam unaponza sanaa yetu kias kwamba wasanii wazuri ambao hawafungamani na Team yeyote hawazingatiwi

Kuna kizazi hiki cha vijana ambao wametoka 2022,-2024. Kusema kweli ni vijana wanaojua mziki sana ila cha ajabu naona attension imeshuka tena kwao yaani msanii mchanga anaonekana tayari keshazeeka kwa sababu hazingatiwi tena

1.Dayoo
2.Lody music
3,lony music
4,Ronze
5,Michu,
6,Mapanch BMB
7,B2K
8, Mavokali
9, platform
10, Bryban.

ONGEZA AMBAO NIMESAHAU HAPA...
utaongea yotee ila lugha ni changamoto hapa kwetu na hata aina ya nyimbo tunazoimba ni kiswahili pure ni ngumu kidogo kupenya kwa urahisi ..
so far tupo vizuri na tunajitahidi sana ila support ya investors na gvt bado ndogo..!
 
utaongea yotee ila lugha ni changamoto hapa kwetu na hata aina ya nyimbo tunazoimba ni kiswahili pure ni ngumu kidogo kupenya kwa urahisi ..
so far tupo vizuri na tunajitahidi sana ila support ya investors na gvt bado ndogo..!
Uongo waarabu wakorea wampenyaje wahindi mbona wanapigwa huko duniani
 
Back
Top Bottom