Elections 2010 Wasanii wa kizazi kipya wameitosa demokrasia nasi tuwatose

Mnachekesha kweli! Yaani mnanunua cd za kina Marlaw na wenzake, izo pesa c bora ukakae kiti kirefu. Mi nanunua nyimbo za wasanii 3 tu, Mpoto, AY, Prof. Jay
 
Kweli ktk hili nimemkubali Mkoloni, Gsolo, AY na wengine kuwa ni wasanii wa ukweli. Wametambua kuwa wateja wao si wanachama wa CCM tu na zaidi kuwa wanahitaji serikali iwatumikie wananchi. Kutumika kwa wasanii wa Bongo ni mfano tosha wa watawala kutumikiwa na wananchi.
 
Hawa vijana wamepata umaarufu kupitia vijana wenzao tukaacha muziki wa kimagharibi na kununua kazi zao za sanaa na kuhudhuria matamasha yao leo hii wanatuona sisi hatunazo na MIRAJI na BABA yake ndo wa maana................NATOA HOAJA TUWATOSE NA TUSAMBAZE KAZI ZAO BURE KWENYE MTANDAO...........

Wewe kweli ndio hujui maana ya demokrasia...hiki unachokipigania hakiitwi demokrasia bali ni ufashisti...Demokrasia ni pamoja na kukubali kutofautiana...kama wao waliona ni bora kuwapigia debe CCM ni haki yao kama ambavyo wewe ulipoamua kupigia debe chama kingine...
 
Mi naona kila tamasha linalo andaliwa na Clouds sijui Prime time tuyasusie!
Mi kwanza hao vijana sisikilizi mziki wao kwa sasa ovyo kabisaa!Hongera Mkoloni na Afande sele kwa kusimama na kamanda SUGU hadi kikaeleweka!
 
mwanangu hao bongofleva waache waendelee kushabikia na nyimbo zao ziwe ringtone za ccm hawana maana hapa usugu tuuuuuuuuuuuuu:A S angry: haina haja ya hizo kazi zao waache wabane pua tuuuu na kuvaaa feki za chinaaaaa
 
Wewe kweli ndio hujui maana ya demokrasia...hiki unachokipigania hakiitwi demokrasia bali ni ufashisti...Demokrasia ni pamoja na kukubali kutofautiana...kama wao waliona ni bora kuwapigia debe CCM ni haki yao kama ambavyo wewe ulipoamua kupigia debe chama kingine...

crap
 
Na kampeni zote walizokuwa wanaipigia CCMhalafu leo waipigie CHADEMA ni wanafiki sana


Tukiwaadhibu kwa kuwaharibia kazi zao, tutakuwa tumewaathiri watu wooote wanaowategemea. sio sawa hii. Tuangalie njia mbadala ya kuwafanya wawe wazalendo. Wanatafuta hela. Mbona kuna watu wanafanya kazi kwenye makampuni ya Lowasa, RA nk? Watanzania tupendane ila tuambiane ukweli pale inapolazimu.
 
Jamani, acheni hasira. Wale ni watanzania wenzetu. Tusibaguane kwasababu ya siasa. Wanatafuta hela wale, na pengine walimchagua dr. Slaa.
ndo maana watoto wenu wakiwa majambazi na kuwaletea pesa mnawaficha.
dawa ya mtoto mtukutu ni rehabilitation centre.
dawa yao ni KUWACHAKACHUA TU. kama hawana huruma na watanzania na kutumia vipaji vyao kuwanadi mafisadi. walipaswa kuweka msimamo kwa kutofungamana na upande wowote. yaani wakinadi huku wananadi huku pia hapo jamii ingewaelewa. ila kwa kuamua kuuza hakimiliki za nyimbo zao kwa ccm wamepoteza big time.

Dawa yao ni KUWACHAKACHUA narudia tena
 
Mwenzenu kaingiza siku, vision yake inakomea kwenye ncha ya pua yake. mimi nilishamtosha alipochakachua Pee Pee!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom