Wasanii wa Kiume kujichubua...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii wa Kiume kujichubua...!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mhafidhina, Jan 13, 2011.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Skuizi imekua fashon kwa wasanii wa kiume kujichubua na kujipaka mkorogo...! Hi imekaaje?


  Kujichubua.jpg
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,436
  Trophy Points: 280
  mabwabwa hayo...
   
 3. s

  shosti JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mwacheni Tino wangu jamani nnavyomzimia,vile kafupi tu
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  mkuu,

  Usiwalaumu sana watu hao, wana matatizo ya kisaikolojia na wanahitaji ushauri nasaha.

  Ni aina moja ya uchakachuaji wa nafsi zao. Ni wa kupewa pole.

  Kuna wanaJF husema ,"miafrika ndivyo ilivyo". Kasumba zimewaingia na kuwateka akili. Anyway, dunia ni uwanja wa fujo.
  Hivi hawajawahi kusikia kuwa kuna black diamond!!?? au...not all that glitters is gold.
   
 5. Mpagama

  Mpagama Senior Member

  #5
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hao ni wagonjwa wa kesho, usilolijua ni usiku wa giza. Kemikali wanazotumia zinakwenda kupumzika kwenye viungo muhimu vya mwili, hususan figo na maini. Vikiacha kufanya kazi hivyo na roho inaacha mwili, lakini kabla ya hatua hiyo mateso hata sasa wanayo kwani wanapata shida katika mwanga mkali hususan wa jua kwa vile tabaka ya juu ya ngozi wameiondoa ambayo ndiyo kinga. Lakini inasemekana kuwa ishi kwa raha kwa muda mfupi kuliko maisha marefu ya mateso. Wanapendeza japo wanaashiria kutokuwa riziki. Mwanaume utajirembaje hivyo, unataka nini?!
   
 6. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  michicha miba hao.
   
 7. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Si wasanii tu hata wasio wasanii tunakutana nao mitaani wengi wamejichubuwa.

  Cha kushangaza si wanaume tu, umeshaona wanawake wanavyojichubuwa? mpaka wengine wanakuwa wa pinky sura zao. Hatari kubwa sana hii, nasikia hawa wanawake wanaojichubuwa mwili mzima hutowa harufu mbaya sana, jee ni kweli jamani?

  Kama ni kweli kwa nini dada zetu wanakataa Rangi za asili alizotuumba nazo Mwenyeezi Mungu, kuna urembo wa kuzifanya ngozi ziwe nyororo na kuvutia, tena wala hauna gharama ni wa kiasili kabisa wala hauna haja ya kujichubuwa. Vitu kama asali, samli safi, vikipakwa mwilini, ngozi inakuwa na mvuto wa kipekee na nyororo na inabaki na rangi yake ya asili, tazama wasomali, hukuti wamejichubuwa lakini tazama ngozi zao zilivyokuwa laini, ni samli tu wanapaka.

  Sasa na hawa wanaume tena hata sijui kwa nini? labda dili kuwa mweupe?
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Dahh, yaani huyu kajichubuwa? sio mwarabu huyu?
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  toto la kiume linameremeta hivyo! Lol.
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  kaaaaazi kwei kwei
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Heri mimi Paka Mweusi na najivunia weusi wangu.
   
 13. Nchi Kavu

  Nchi Kavu JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,041
  Trophy Points: 280
  Huyi ni Ino, mwigizaji mzuri sana sema ndio hivyo-mkumbo!!
   
 14. m

  mTZ_halisi Member

  #14
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2007
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wengine rangi zao jamani
  he is evenly toned... semeni wa ukweli
   
 15. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  huyu si ndiyo yule shoga maarufu wa Mombasa????
   
 16. s

  shosti JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nasiku zote paka lazma awe mweusi,paka mweupe si paka ana jina lake
   
 17. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hata mi nadhani atakuwa yeye.
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Hapo ndio napokupendea,hebu nipe jina la paka mweupe....
   
 19. s

  shosti JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ntakimbizwa humu hahahaaaaa!!!
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Usihofu nitakuwa nawe bega kwa bega kukulinda........
   
Loading...