Wasanii kumuunga mkono Magufuli

Wasanii kumuunga mkono Magufuli

Diamond tulimpandsha sis...sasa subir tulitoe bund kwa ali k.tulihamishie kwake..

Tutamwandama kuanzia fb.twiter .insta.watsap had ajute
 
MAAMUZI MAGUMU.

Ninafahamu kuwa ni Demokrasia na kila mmoja ana uhuru wa kuchagua na kuamua LAKINI....
I have officially unfollowed diamondplatnumz Mwanafa and wemasepetu

I followed them because I love their art and entertainment...I never thought they were politically blind.

Mmoja katoka Shule ya Tandale huku ikiwa haina mahitaji muhimu kama walimu, madarasa, vitabu nk. Pia ameacha kabisa kutoa albums kwasababu serikali ya Chama tawala imeshindwa kusimamia haki na hatimiliki za kazi zake. Amesahau hata Waganda na Wakenya kazi zao zinasimamiwa na serikali vyema na ni mabilionea.

Mwingine ni Muigizaji, amefanya sanaa kwa zaidi ya miaka 9 sasa. Lakini bado anarandaranda kwenye nyumba za kupanga, amesahau katika nchi nyingine ambapo serikali inathamini kazi za wasanii, leo hii angekuwa ni Bilionea.

Mwingine ni Mkuu wa Kwaya, amekuwa kwenye Game kwa miaka zaidi ya 10. Mafanikio yake hayalingani na wasanii wengi wa kiwango chake katika nchi za wenzetu ambapo kazi za wasanii zinathaminiwa. Amejisahau sana kuwa leo hii alitakiwa kuwa sawa kimafanikio na kina 2Face au hata Jose Chameleone. "Umasikini mkubwa kuliko wote ni umasikini wa Mawazo/akili"- J.K Nyerere.
 
Attachments

  • 1439998235218.jpg
    1439998235218.jpg
    66 KB · Views: 391
Last edited by a moderator:
Hao wote wanalipwa na ccm kukidhi mahitaji yao lazima wawalambe ccm
 
Maamuzi binafsi ni ya binafsi..hapa si mahali binafsi
 
Ondoka kila mmoja na maisha yake huwezi kuwatishia wasanii kwa kujito kwako.kwanza wewe ni shabiki maandazi sifa zako kuu kama zifuatazo
1)Hujawahi kununua album hata moja ya hao wasanii
2)kupata nyimbo zao unasubiria kurushiwa kwa Bluetooth hutaki hata kudownload
3)show zao hao wasanii unaingia kwa freepass na show za matangazo za Pepsi na tigo.
wewe ni shabiki maandazi na hauna gaida yeyote kwa wasanii hao
 
Ukiondoka wewe wapo watakao ingia usitake wafuate utakacho wewe
 
Ni ujinga kumkashifu mtu kwa sababu hapendi unachopenda wewe.

Kila mtu ana uhuru wa kuunga mkono chama akipendacho.

Rudi ukasome CIVICS.
 
Wanabaki kulalamika hatimiliki! Ukosefu wa elimu ni tatizo
 
MAAMUZI MAGUMU.

Ninafahamu kuwa ni Demokrasia na kila mmoja ana uhuru wa kuchagua na kuamua LAKINI....
I have officially unfollowed diamondplatnumz Mwanafa and wemasepetu

I followed them because I love their art and entertainment...I never thought they were politically blind.

Mmoja katoka Shule ya Tandale huku ikiwa haina mahitaji muhimu kama walimu, madarasa, vitabu nk. Pia ameacha kabisa kutoa albums kwasababu serikali ya Chama tawala imeshindwa kusimamia haki na hatimiliki za kazi zake. Amesahau hata Waganda na Wakenya kazi zao zinasimamiwa na serikali vyema na ni mabilionea.

Mwingine ni Muigizaji, amefanya sanaa kwa zaidi ya miaka 9 sasa. Lakini bado anarandaranda kwenye nyumba za kupanga, amesahau katika nchi nyingine ambapo serikali inathamini kazi za wasanii, leo hii angekuwa ni Bilionea.

Mwingine ni Mkuu wa Kwaya, amekuwa kwenye Game kwa miaka zaidi ya 10. Mafanikio yake hayalingani na wasanii wengi wa kiwango chake katika nchi za wenzetu ambapo kazi za wasanii zinathaminiwa. Amejisahau sana kuwa leo hii alitakiwa kuwa sawa kimafanikio na kina 2Face au hata Jose Chameleone. "Umasikini mkubwa kuliko wote ni umasikini wa Mawazo/akili"- J.K Nyerere.

Who are u bytheway!? U ARE SIMPLY NOBODY.
 
Last edited by a moderator:
Wasanii wana njaa na wengi wao hawana akili..... Wengi wao ni wapumbavi na waji.nga
 
Wasanii wengi wa tanzania wamefeli shule, unategemea nini kwa watu wa aina hiyo?
 
Tuache uwanja wa kampeni uwe huru kwa watu wote wanaopenda kupigia kampeni upande fulani. Wasanii ni watu wanaohudumia jamii sawa na viongozi wa dini, wasanii wana utashi, wafuasi na wapenzi wao sawa na viongozi wa dini. Wasanii wanashawishi wapenzi wao na viongozi wa dini wanashawishi wafuasi wao, lakini mwisho wa siku watu nao huwa wana akili na matakwa yao, wataamua nani watampigia kura.

Haiwezi kuwa sawa wasanii waruhusiwe kufanyia mtu kampeni lakini viongozi wa dini wanyimwe. Kwani shida ni nini hasa Mh. Lubuva?, ruhusu wote au kataza wote (all or none) utaeleweka sana.
 
Maaskofu wa kikatoliki jamani waraka na programme ya mafunzo juu ya uchaguzi wa 2015 viko wapi. Mbona mwaka 2010 programme ilianza mapema sana kulikoni mwaka huu; msituangushe waumini wenu!
 
Ni kweli ila tatizo la wasanii wa bongo ni NJAA, CCM iliwaahidi mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuwajengea studio ya kisasa na pia kulishuhulikia tatizo la haki miliki(copyright) ya kazi zao. ILA HAKUNA LILILOFANYWA NA CCM,zaidi ya kuwatumia kipindi cha kampeni ili kupata watu wengi kwenye mikutano yao.
 
Mkuu hata masheikh waliahidiwa mahakama ya kadhi kwenye ilani ya CCM lakini nao waliambulia patupu, ni sheeeda tupu.
 
Back
Top Bottom