Wasanii kumuunga mkono Magufuli

Wasanii kumuunga mkono Magufuli

Wasanii huwa wanatumika kubeba mgongoni mafisadi kwenda Ikulu. Demokrasia yetu bado ni changa, baada ya uchaguzi kwisha kazi za wasanii hao zitadoda kwa hasira za walioshindwa, na mifano hai tunayo ya wasanii walioanguka kwasababu tu za kushabikia vyama fulani wakati wa uchaguzi.

Kabla ya kukubali kandarasi ya kukipigia kampeni chama chochote fikiria kwanza hali ya kazi zako za kisanii zitakuwaje baada ya uchaguzi kumalizika.
 
Naomba mifano mitano ya nchi ambazo zimeingia katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu tu ya wasanii kushabikia upande fulani wa kisiasa.

Ukiona vijisheria vya kipuuzi kama hivi ujue kundi linalopingwa limeshajitambua hivyo wanabidi watunge sheria za kuwabeba. Hawa viongozi wa dini siku za nyuma walipokuwa wakijipendekeza kwa ccm walikuwa wanatumiwa kutoa matamko ya kisiasa mara kibao, lakini toka ccm iwatende kitu kibaya ndio maana wanawazuia. Hata hao wasanii siku wakiacha kuhongwa na ccm utasikia wasanii wasijiingize kwenye siasa watawagawa wananchi. Utashangaa eti wapinzani wakipata uungajwi mkubwa wa watu kunatungwa sheria ya kudhibiti maandamano lakini ccm wakifanya hakuna shida.

Ni hivi safari hii tuko tayari kwa lolote mlizoea vya kunyonga vya kuchinja naona vinawakamata pabaya.
 
Hakuna tasnia iliyo na maadili hapa TZ njaa zinatumaliza.....Si waandishi wa habari, Si wasanii wa muzik na wala si Movies wote hawana nia ya dhati pindi swala la siasa linapokuja....Wanaangalia kama fursa ya kupata chochote kitu.Period.
 
Kwakweli Brother nimekuelewa sana. Inasikitisha zaid kuona hata waandishi nao wananuliwa, wanaharakati wananuliwa kila engo inanuka Rushwa. Kujipendekeza kwa mabwana wakubwa ndo imekuwa fasheni. Uozo mtupu.
 
Piiipiiii piiii haiwezekani move after way nimechoka kusubiri piiii piiii piiii yuuu wpi huyu piiii piii piii
 
Hawawez kupima upepo cz wanaburuzwa na baadhi yao nzala inawaumiza! so wanaona bora wajitoe fahamu kushabikia ujinga. Wameshasahau masuala yao ya hakimiliki kwa kaz zao za sanaa na ni serikali hii ndo imeshindwa kufanya hvyo kwa 50yrs. Wangese sana.
 
Ukiona vijisheria vya kipuuzi kama hivi ujue kundi linalopingwa limeshajitambua hivyo wanabidi watunge sheria za kuwabeba. Hawa viongozi wa dini siku za nyuma walipokuwa wakijipendekeza kwa ccm walikuwa wanatumiwa kutoa matamko ya kisiasa mara kibao, lakini toka ccm iwatende kitu kibaya ndio maana wanawazuia. Hata hao wasanii siku wakiacha kuhongwa na ccm utasikia wasanii wasijiingize kwenye siasa watawagawa wananchi. Utashangaa eti wapinzani wakipata uungajwi mkubwa wa watu kunatungwa sheria ya kudhibiti maandamano lakini ccm wakifanya hakuna shida.

Ni hivi safari hii tuko tayari kwa lolote mlizoea vya kunyonga vya kuchinja naona vinawakamata pabaya.

Halafu unasema unahitaji mabadiliko kama hata swali dogo kama nililouliza limekushinda kujibu. Hayo maelezo uliyoyatoa hapo juu yapo nje ya swali langu. Na wala sikusema nahitaji maelezo au ufafanuzi. Swali langu ni hili endapo hukulisoma vinzuri "Naomba mifano mitano ya nchi ambazo zimeingia katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu tu ya wasanii kushabikia upande fulani wa kisiasa."
 
Baada ya mgombea wa CCM kukosa kick katika mitandao wameamua kutumia team Wema, Diamond na wasanii wa Ruge je hii itawasaidia? au ni kuishiwa mbinu za kuteka watu ili mgombea auzike, mpaka sasa bila habari za Lowassa magazeti hayauziki.

Yetu macho Watanzania wameamua safari hii.
 
Kwakweli Brother nimekuelewa sana. Inasikitisha zaid kuona hata waandishi nao wananuliwa, wanaharakati wananuliwa kila engo inanuka Rushwa. Kujipendekeza kwa mabwana wakubwa ndo imekuwa fasheni. Uozo mtupu.

Njaa ipo mpak kwa Dj
 
Mpaka sasa wasanii wafuatao wamempost Magufuli
1. Wema
2. Zamaradi
3.Barnaba
4.Shilole
5. Dogo Aslay
6.Linah
Hawa ni wale niliowafollow instagram mm
Diamond hajapost ila naona kawatuma Dancer wake na mpiga picha wake na wapambe wake hii isitukatishe tamaa sisi tunaomuunga mkono Lowasa

hata wasanii ni watanzania kama mimi na wewe..wana haki ya kupenda wanachokiamin bila kuvunja katiba.sion ubaya kwa wao kumsapot Maguful au Lowasa au yeyote yule...asa wew unakata tamaa kwa lipi??
 
Ccm Kwisha Habar Yao
Ukawa yawa Ukiwa yaondokewa na Slaa, Lipumba sasa bado Luwasa ambaye atawakimbia siku chache kabla ya uchaguzi kwa kisingizio cha afya yake. Sijui mtalia au mtaomboleza. Subirini muone sinema, msanii ni msanii hata ukimpeleka msibani ataaigiza walau kulia.
 
Mngetaka Sera mngetumia midahalo ya kisiasa co taarabu eti ccm mbele kwa mbele aliselema
 
Watakujibu wasomaji wengine wa jf hilo swali lako linalotaka kuhalalisha kutumika vibaya kwa wasanii kubeba mgongoni mafisadi kwenda Ikulu. Baada ya uchaguzi kwisha kazi za wasanii hao zitadoda kwa hasira za walioshindwa, na mifano hai tunayo ya wasanii walioanguka kwasababi za kushabikia vyama.

kwani msanii haruhusiwi kuwa na maamuz ya kukipenda chama kama raia wengne??

kwann iwe wasanii tu ndo wamenunuliwa,Je na wananchi wa kawaida wamenunuliwa kusapot chama flani?

hebu jaribu kumwangalia msanii kama mwananchi wa kawaida kwa sasa ndio upate majbu halisi kua hata wao wana uhuru na haki ka ww unavopeperusha na kuvaa bendra ya chama chako hata wao wanahaki kama watz...
 
Halafu unasema unahitaji mabadiliko kama hata swali dogo kama nililouliza limekushinda kujibu. Hayo maelezo uliyoyatoa hapo juu yapo nje ya swali langu. Na wala sikusema nahitaji maelezo au ufafanuzi. Swali langu ni hili endapo hukulisoma vinzuri "Naomba mifano mitano ya nchi ambazo zimeingia katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa sababu tu ya wasanii kushabikia upande fulani wa kisiasa."

ukiona mtu mzma anatoa majibu yasiyoeleweka ujue hana point za msingi... na hajui kwann anasema wasanii wamenunuliwa ila anashabkia tu.najua hao wasanii wangekua UKAWA ungesikia eti wanataka mabadliko
 
Ukawa yawa Ukiwa yaondokewa na Slaa, Lipumba sasa bado Luwasa ambaye atawakimbia siku chache kabla ya uchaguzi kwa kisingizio cha afya yake. Sijui mtalia au mtaomboleza. Subirini muone sinema, msanii ni msanii hata ukimpeleka msibani ataaigiza walau kulia.

Dah!chukua MOET hapo nakuja lipa
 
Kuna mtu anayepiga kura kwa kuhisi anavyotaka Wema au Shilole??? Seriously??

Lol! I wonder

Sijawahi kuona wala kuhisi km Wema yuko vizuri kabisa huwa namwona kama ni SPECIAL CASE.

Sijui kwanini haigi mifano halisi ya wenzake Faraja, Nancy, Flavian they are so cool..... ukizingatia Faraja ni CCM na mmewe pia lakini huwezi kuona akitoa povu kijinga

Eti nikapige kura kisha Wema au Shilole? No thank you!
 
Wasanii huwa wanatumika kubeba mgongoni mafisadi kwenda Ikulu. Demokrasia yetu bado ni changa, baada ya uchaguzi kwisha kazi za wasanii hao zitadoda kwa hasira za walioshindwa, na mifano hai tunayo ya wasanii walioanguka kwasababu tu za kushabikia vyama fulani wakati wa uchaguzi.

Kabla ya kukubali kandarasi ya kukipigia kampeni chama chochote fikiria kwanza hali ya kazi zako za kisanii zitakuwaje baada ya uchaguzi kumalizika.

wangepigia kampen Ukawa ungesema wanataka mabadliko duuuuh heshim uamuz wa mtu kwan ww umenunuliwa?
 
Back
Top Bottom