Wasanii kumuunga mkono Magufuli

Wasanii kumuunga mkono Magufuli

Wapo wangapi?wanafikia hata nusu ya wale Zanzibar waliompokea Jana?
 
ukweli unauma kumbee, hao wasanii si ndio wa kwanza kuja kulalamika serkal hailindi maslahi yao leo wananunuliwa kwa mlo wa jioni pale mliman city,tokea uchaguzi wa 2010 ni lini katika kumbukumbu zako raisi ashawaita wasanii akakaa nao wakapata mlo pamoja? au ni kwa kipindi hichi cha kampeni kuanza ndio anawakumbuka wasanii.Japo hao wasanii nao hawajielewi wanarubuniwa kirahisi

hembu tuache unafiki hv hali ya wasanii ya 2010 hatuoni maendeleo yoyote?kama wewe ulivo na sababu ya kumpgia kura lowassa na wao wanasababu ya kumpgia na kua upande wa ccm
 
Uhuru wa kuchagua pale unapopataka na kuona kuna matumaini zaidi ya huko mnapofikiria.
 
  • haya kayaandika leo huko insta

    raythegreatest
    (FREEDOM OF SPEECH MAKSUDI NILIFANYA MAAANA NDIO MNAYAJUA NYINYI MAMBO YA MSINGI AHAA..)Usiku wa jana nimetafakari vi2 vingi sana kuhusu Nchi yangu iliyobarikiwa kila aina ya utajiri wa madini mbuga za wanyama wakiwemo aina mbalimbali za wanyama wa kuvutia na hekta kubwa za misitu Ila ninaona vipofu wengi sana wasiolewa nini 2lichobarikiwa ndani ya Tanzania ye2. 2meingizwa mikenge mingi sana katika mikataba tena mibovu bajeti kandamizi Kwa wa2 wa hali ya chini mifumuko ya bei kila kukicha hali ngumu kwa wasanii wa Tanzania kila siku ahadi zisizotekelekeza why nasema hivyo wasanii wenzangu? 2meumia kwa kipindi kirefu sana bila msaada wowote ha2na haki miliki wa kazi ze2, zinaibiwa kama njugu sokoni kariakoo yani 2li2pwa kama taka taka kwenye dampo lakini sasa hivi kipindi cha uchaguzi ndio 2naonekana umuhimu we2 tuamke kuwaambia wananchi wachague viongozi makini watakaoweza ku2vusha Watanzania kwenda ha2a nyingine.
    Tuna wa2 wengi sana nyuma ye2 wanaotuamini sisi wasanii kama kioo cha jamii tusiwapoteze Watanzania kuwaambia Viongozi wa chama flani ndio wanafaa kwa vijisenti vidogo 2navyopewa. Watanzania huu ni wakati sahihi waku2lia na kuwachagua viongozi makini wanaofaa Ni katika kukumbushana 2 waswahili wanasemaje utakaokatanao kuni ndio utakaota nao moto.
 
Mpaka sasa wasanii wafuatao wamempost Magufuli
1. Wema
2. Zamaradi
3.Barnaba
4.Shilole
5. Dogo Aslay
6.Linah
Hawa ni wale niliowafollow instagram mm
Diamond hajapost ila naona kawatuma Dancer wake na mpiga picha wake na wapambe wake hii isitukatishe tamaa sisi tunaomuunga mkono Lowasa

seriously? Wema sepeto??? Shilole???? What a shame????? Hawa hata kwa bureeeeee hatuwataki ukawa maana ni mikosi tupu
 
Japo wana ''kainflunce'' kwa kiasi chao...wengi wao wana zero knowledge kuhusu siasa....

tyta wewe ni mtu nakuheshim sana ila uliposema wana influence, kweli hawa wana lolote mkuu???? Au kuna mwizi kaingilia account yako??
 
Wangeenda kwa Lowasa wasingepaswa lalamika kazi zao kuibwa.
 
Magufuli ndiyo kiongozi pendwa na watanzania tunaomba mungu atusaidie huyu fisadi Lowasa asiwe kiongozi atauza taifa letu huyu Lowasa mwizi mpaka anajiibia mwenyewe.

CCM kama chama washauza nchi............
 
Mpaka sasa wasanii wafuatao wamempost Magufuli
1. Wema
2. Zamaradi
3.Barnaba
4.Shilole
5. Dogo Aslay
6.Linah
Hawa ni wale niliowafollow instagram mm
Diamond hajapost ila naona kawatuma Dancer wake na mpiga picha wake na wapambe wake hii isitukatishe tamaa sisi tunaomuunga mkono Lowasa

Kwa asilimia 95% ya watanzania wanawaona wasanii kama vijana wahuni wasio na maadili kwa hiyo kwa upande wa kumwongezea Magufuli credibility ili apate wapiga kura wengi haipo. Ninachojua vijana wakijua anakuja na wasanii kama Diamond watahudhuria kwa wingi kupata burudani na siyo kubadili mtazamo. Nijuavyo UKAWA wanafanya kampeni kama kazi inayohitaji umakini ila CCM wanataka kuigeuza kampeni burudani. CCM can move on with Burudani ila UKAWA wameamua kutofanya business as usual .
 
tyta wewe ni mtu nakuheshim sana ila uliposema wana influence, kweli hawa wana lolote mkuu???? Au kuna mwizi kaingilia account yako??

hapana...kwanza nimetumia neno''kainfluence'' yenye ''(note the quotation marks)...nadhani unaelewa inamply nini..
 
Mpaka sasa wasanii wafuatao wamempost Magufuli
1. Wema
2. Zamaradi
3.Barnaba
4.Shilole
5. Dogo Aslay
6.Linah
Hawa ni wale niliowafollow instagram mm
Diamond hajapost ila naona kawatuma Dancer wake na mpiga picha wake na wapambe wake hii isitukatishe tamaa sisi tunaomuunga mkono Lowasa

Hao njaa tu inawasumbua, ngoja aondoke jamaa yao sijui watahamia wapi tena
 
Kuna mtu anayepiga kura kwa kuhisi anavyotaka Wema au Shilole??? Seriously??
 
hawa walio kusanyika na kuagana na rais bila waziri utamaduni na michezo ni punguani
 
Sijajua kama shida kubwa ya Watanzania kwa sasa ni hao wana mziki ivi kwanini wana ccm mnakuwa na mawazo mgando kiasi hiki?yaani imefikia hatua badala ya kuwaza maendeleo mnawaza mtawapumbaza watu kwa namna gani ili muendelee kubaki madarakani this is stupidity Knowledge
 
Hao wasanii hawajielewi tu wangekuwa wanajielewa wangekaa kimiya zaidi wangeamasisha watu kujitokeza kupiga kura.
 
hembu tuache unafiki hv hali ya wasanii ya 2010 hatuoni maendeleo yoyote?kama wewe ulivo na sababu ya kumpgia kura lowassa na wao wanasababu ya kumpgia na kua upande wa ccm


Mabadiliko na maendeleo tunayaona sana ,wamejiingiza sana katika biashara za madawa ya kulevya na wengine wamefariki( R.I.P ) kwa sababu ya biashara hizo haramu..

Tunayaona maendeleo yao wakienda nje ya nchi ktk shoo za kucheza 'uchi' tunawaona mkuu...

Wasanii kama hawa ni wa kutiliwa maanani kweli au tunapoteza muda kuwajadili ?
 
Back
Top Bottom