[h=3]Kwa niaba ya Baraza la Vijana waBaada ya mgombea wa ccm kukosa kick ktk mitandao wameamua kutumia team wema,diamond na wasanii wa Ruge je hii itawasaidia?au ni kuishiwa mbinu za kuteka watu ili mgombea auzike,mpaka sasa bila habari za Lowassa magazeti hayauziki.yetu macho Watanzania wameamua safari hii
CCM lazima ife mwaka huu na tulishaamua
Baada ya mgombea wa ccm kukosa kick ktk mitandao wameamua kutumia team wema,diamond na wasanii wa Ruge je hii itawasaidia?au ni kuishiwa mbinu za kuteka watu ili mgombea auzike,mpaka sasa bila habari za Lowassa magazeti hayauziki.yetu macho Watanzania wameamua safari hii
Wapenzi wa UKAWA suseni kazi za wasanii hawa mara moja kuanzia sasaMpaka sasa wasanii wafuatao wamempost Magufuli
1. Wema
2. Zamaradi
3.Barnaba
4.Shilole
5. Dogo Aslay
6.Linah
Hawa ni wale niliowafollow instagram mm
Diamond hajapost ila naona kawatuma Dancer wake na mpiga picha wake na wapambe wake hii isitukatishe tamaa sisi tunaomuunga mkono Lowasa
Magufuli ndiyo kiongozi pendwa na watanzania tunaomba mungu atusaidie huyu fisadi Lowasa asiwe kiongozi atauza taifa letu huyu Lowasa mwizi mpaka anajiibia mwenyewe.
Mpaka sasa wasanii wafuatao wamempost Magufuli

Unamaana mziki au filamu zinaweza zuia mafuriko kweli ??.minaona kama wanajiua kwenye fani zao.
Magufuli ndiyo kiongozi pendwa na watanzania tunaomba mungu atusaidie huyu fisadi Lowasa asiwe kiongozi atauza taifa letu huyu Lowasa mwizi mpaka anajiibia mwenyewe.
Kwa cc Kristo ukiandika mungu wala hatuna habari na ww maana kuna miungu mingu kibao
Wasanii wengi ni watumiaji wa madawa ya kulevya.
[h=3]Kwa niaba ya Baraza la Vijana wa
CHADEMA (BAVICHA), kwa
taarifa hii tunarudia kukemea jitihada zozote za kumlinda na
kumtangaza Lowassa
kuwa shujaa katika taifa letu kwani hali hii ikiachwa
kuendelea inatoa mfano
mbaya kwa vijana wa Tanzania. Tusingependa kwa namna yoyote
katika taifa letu,
mtuhumiwa wa ufisadi aliyetajwa pia katika orodha ya
mafisadi(list of shame)
kulindwa na kuenziwa kama shujaa wa Taifa letu kwani ni
kuharibu maana nzima ya
ushujaa katika uwajibikaji.
Imetolewa tarehe 31 Agosti 2008
safirini Kenya na:
John Mnyika
Mkurugenzi wa Vijana
0754694553[/h]