yanga bwana
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 300
- 47
Hao ni MACHAGUDOA wanamfaa mkuu wenu
Kuungwa mkono na Shilole na Wema nako ni sifa?
Wao wameshazoea kwenda dinner ikulu hivyo sioni ajabu hapo! Ni haki yao kumuunga mkono Mh. Magufuli wether kwa utashi wao au kwa kununuliwa kwa 'dinner', And this time kama wanadhani mashabiki wao watawafuata they are wrong. Muziki ni kitu kingine na siasa ni kitu kingine.

povu lawatoka kwa sababu gani? au hamtambui kuwa kila mmmoja anayo haki ya kumuunga mkono mtu amtakaye? sioni shida katika hili, wao ni watanzania na kuwa wasanii ni kazi yao kama waliyo wafanyakazi wengine. Kapige kura yako mchague umtakae ila usijadili maamuzi ya mtu mwingine kwa kuwa wewe huyaungi mkono.
Mpaka sasa wasanii wafuatao wamempost Magufuli
1. Wema
2. Zamaradi
3.Barnaba
4.Shilole
5. Dogo Aslay
6.Linah
Hawa ni wale niliowafollow instagram mm
Diamond hajapost ila naona kawatuma Dancer wake na mpiga picha wake na wapambe wake hii isitukatishe tamaa sisi tunaomuunga mkono Lowasa
Kama wewe Lowasa wao Magufuli sasa shida nini?? Kila mtu akifuata chama unachotaka ww hakuna upinzani pigia kampeni chama chako sy kuangalia nani yupo wapi
Na wewe kimekuuma nn mpaka kureply