Wengi tutaanza kumuunga mkono Magufuli sio kwasababu ni bora sana' ila kwasababu kuna kundi linajiona hii nchi ni Mali ya familia yao

yitzhak

JF-Expert Member
Jul 3, 2019
616
853
Yaani mambo yanavyoenda hii nchi walahi IPO siku Tanzania itakuwa nchi tatu au NNE kama ilivyo somalia

Hii nchi kuna familia kadhaa zinajiona nchi ni ya kwao ndio hawataki wengine waongoze wanataka wao au watu wanaowataka wao tu

Walimzima Mzee lowasa kwa kumpaka kila matope Mzee wa watu walimpa stress mpaka sasa amezeeka kuliko umri wake

Je hili kundi linataka kuipeleka wapi hii nchi?
Hawa kina membe walisahau nini mbona walivuna kila aina ya utajiri
Hao kina nani sijui wametoka kwao nchi imeoza uko wamekuwa mabilionea Tanzania wamewinda tembo wetu fedha wanaenda kulisha ndugu zao huko

Kwahizi fujo mnataka kuzianzisha hakika tutaamua kumuunga mkono magufuli

Kuna juhudi kubwa zinafanyika Urais uwe halali ya waswahili

Tutaamua kumuunga mkono magufuli pamoja na mapungufu
 
Hujitambuwi wewe
1. Uwanja wa ndege chato

2. Uwanja wa michezo chato

3. Barabara za lami chato

4. Kila jambo sasa hivi kanda ya ziwa

5. Uteuzi wa viongozi asilimia kubwa kanda ya ziwa

6. Kinondoni, wamebomolewa, mwanza hapana wasibomolewe .....!!!!

Kwani Tanzanian Mali ya kanda ya ziwa?
 
.
FB_IMG_1563471458364.jpeg
 
Mngekuwa mnapigania mambo muhimu yakitaifa

1. Katiba mpya

2. Tume huru ya uchaguzi

3. Taasisi huru zenyemaamuzi kamili
-bunge
-mahakama
-msajiri vyama vya siasa

4. Uhuru wa vyombo vya habari

5. Haki yakujieleza, kukusanyika nakuhadiliana nk

Lakini mmekuwa wajinga, wapumbavu kutetea ushenzi, udhalilishaji nk
 
Hujitambuwi wewe
1. Uwanja wa ndege chato

2. Uwanja wa michezo chato

3. Barabara za lami chato

4. Kila jambo sasa hivi kanda ya ziwa

5. Uteuzi wa viongozi asilimia kubwa kanda ya ziwa

6. Kinondoni, wamebomolewa, mwanza hapana wasibomolewe .....!!!!

Kwani Tanzanian Mali ya kanda ya ziwa?
Kwani Chato siyo sehemu ya TZ? Tuambie kwa mtazamo wako labda nn kingefanyika huko Chato mbadala wa hayo uliyotaja?
 
Yaani mambo yanavyoenda hii nchi walahi IPO siku Tanzania itakuwa nchi tatu au NNE kama ilivyo somalia

Hii nchi kuna familia kadhaa zinajiona nchi ni ya kwao ndio hawataki wengine waongoze wanataka wao au watu wanaowataka wao tu

Walimzima Mzee lowasa kwa kumpaka kila matope Mzee wa watu walimpa stress mpaka sasa amezeeka kuliko umri wake

Je hili kundi linataka kuipeleka wapi hii nchi?
Hawa kina membe walisahau nini mbona walivuna kila aina ya utajiri
Hao kina nani sijui wametoka kwao nchi imeoza uko wamekuwa mabilionea Tanzania wamewinda tembo wetu fedha wanaenda kulisha ndugu zao huko

Kwahizi fujo mnataka kuzianzisha hakika tutaamua kumuunga mkono magufuli

Kuna juhudi kubwa zinafanyika Urais uwe halali ya waswahili

Tutaamua kumuunga mkono magufuli pamoja na mapungufu
He is worse than those you mentioned. The man is very terrible. Believe it.
 
Hata somalia walianza hivi hivi na anaesababisha ubaguzi na mgawanyo huu sio lowasa wala Membe wala Kinana wala Kikwete ni Magufuli mwenyewe.
Naunga mkono hoja.... Hata baba kwenye familia akiwa na watoto wa wiwili au watatu then akawa anampendelea mmoja tegemea mtifuano hapo nyumbani ikiwezekana watoto wengine kumchukia baba pamoja na ndugu yao
 
Yaani mambo yanavyoenda hii nchi walahi IPO siku Tanzania itakuwa nchi tatu au NNE kama ilivyo somalia

Hii nchi kuna familia kadhaa zinajiona nchi ni ya kwao ndio hawataki wengine waongoze wanataka wao au watu wanaowataka wao tu

Walimzima Mzee lowasa kwa kumpaka kila matope Mzee wa watu walimpa stress mpaka sasa amezeeka kuliko umri wake

Je hili kundi linataka kuipeleka wapi hii nchi?
Hawa kina membe walisahau nini mbona walivuna kila aina ya utajiri
Hao kina nani sijui wametoka kwao nchi imeoza uko wamekuwa mabilionea Tanzania wamewinda tembo wetu fedha wanaenda kulisha ndugu zao huko

Kwahizi fujo mnataka kuzianzisha hakika tutaamua kumuunga mkono magufuli

Kuna juhudi kubwa zinafanyika Urais uwe halali ya waswahili

Tutaamua kumuunga mkono magufuli pamoja na mapungufu
Wengi na akina nani?
 
Back
Top Bottom