Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

Kwanza lile gari alilokuwa amepanda nimekutana nalo dar jana linarudi walivyonichenga sasa nikajua mzee baba amerudi sasa nashangaa kumuona leo kwenye interchange ubungo et ndio katokea dodoma ndipo nilipojiona mjinga zaidi
 
Kweli mnaamini Rais hakuwa na walinzi?kwaiyo aliyekuwa anachukua video ni raia wa kawaida eti!View attachment 1483025
Nimesema ulinzi hafifu
Hoja yangu ilijikita kwenye ajali na si shambulio
Watoa hoja wengi wameegemea kwenye shambulio,kwamba walinzi walipanda boda boda,nawe umeweka picha mtu ana kikaunda suti anakimbiza daladala ziondoke
Kama ingetokea ajali hao boda boda au huyo askari.angesaidia nini kwa mfano
 
Hilo ndio tatizo lenuu kuu,kwani ukisema wewe ni mkenya haitoshi?mpaka ukazie toka mombasa,ili tujue kwamba wewe ni mkamba ama sio?
Hamna cha ukenya wala nini huyo yupo kwenye kazi maalum na mimi nampa shughuli maalum. Kama anafikilia kimombasa ni huko huko kwenye kizazi chake cha kimombasa
 
Da if bana linapokuja suala la ulinzi wa raisi kila mtu jf unageuka msemaji wa TISS utavisikia vimisamiati kama undercover sijui secured.
 
Wanasiasa watu wa ajabu sana,ukikaribia uchaguzi watafanya lolote wawezavyo wawashangaze wanyonge, kama kile kimama cha bungeni kilivyokula mgawani kujichoresha
 
Kumbuka Mungu aliumba vinavyoonekana na visivyoonekana.
Vitu vingine viache kama vilivyo vipo under control ambayo sio kila mtu anaiona
Kazi wanajua sana,ni mapungufu tu ya kibinadamu,huwezi kumsafirisha Rais kama unamsafirisha KuB
 
Back
Top Bottom