Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

Wasaidizi wa Rais msirudie kosa hili

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
26,151
Reaction score
18,751
Jana zilisanbaa video zikionyesha Rais wetu akiwa kwenye gari lenye namba binafsi akikatiza mitaa ya Dodoma akiwa na ulinzi hafifu sana,katika kile kilichoelezwa ni kutenganisha kazi za chama na urais

Rais ni Rais tu muda wowote, akiwa Chato au hata Kisiwandui katiba inamtambua kama Rais

Kitendo cha kumuondolea gari lake maalum na msafara wake naweza kuita kama jaribio la kuhatarisha maisha ya Rais na na kuiweka nchi katika hali ya taharuki

Tupo kwenye vita kali ya uchumi inayoongozwa na Rais wetu, maadui wapo macho kuangalia jinsi gani wanaweza kuishinda vita hii kwa njia za mkato, wasaidizi wa Rais kama mmelala amkeni

Imenitisha sana kuona V8 imekaa upande wa kulia ikiwa spidi kali, bila tahadhari yoyote, je ingetokea fuso ya vitunguu toka Singida dereva kalewa na yupo kwenye mwendo kasi ingekuaje?

Usalama wa Rais ni kipaumbele cha kwanza, msiogope kuambiwa mnatumia vibaya rasilimali za Serikali, katiba haimbani Rais, MSIRUDIE JAMANI

MATAGA hamlali?

Vita hiyo tunapigana na nani? Tuambie na sisi wanyonge tuwapige hao watu.

Nyerere, Mwinyi , Mkapa na Kikwete walikuwa wanatumia magari ya TISS Kwenye shughuli zisizohusu NCHI , kama kwenda kwenye matawi ya chama na kadhalika.

Hata anapokwenda kwenye vi-harusi hapaswi kutumia mali za ikulu ndiyo maana ya mgawanyo wa madaraka na kazi, wewe ndio mshamba kaka juzi ulivyosema alikuwa amekariri hotuba kumbe anasoma kwa teknolojia ya mnaowaita mabeberu, pumbav kabisa wewe, hujaelimika ninyi MATAGA na ndio vilaza wa nchi hii
 
MATAGA hamlali?
Vita hiyo tunapigana na nani? Tuambie na sisi wanyonge tuwapige hao watu.
Nyerere, Mwinyi , Mkapa na Kikwete walikuwa wanatumia magari ya TISS Kwenye shughuli zisizohusu NCHI , kama kwenda kwenye matawi ya chama na kadhalika.
Hata anapokwenda kwenye vi-harusi hapaswi kutumia mali za ikulu ndip maana ya mgawanyo wa madaraka na kazi, wewe ndio mshamba kaka juzi ulivyosema alikuwa amekariri hotuba kumbe anasom,pumbav kabis wewe, hujaelimika
Mbowe alikuwa bar usiku na gari ya KUB ya serikali unataka kusema pale alikuwa anatekeleza kazi za kibunge
 
MATAGA hamlali?
Vita hiyo tunapigana na nani? Tuambie na sisi wanyonge tuwapige hao watu.
Nyerere, Mwinyi , Mkapa na Kikwete walikuwa wanatumia magari ya TISS Kwenye shughuli zisizohusu NCHI , kama kwenda kwenye matawi ya chama na kadhalika.
Hata anapokwenda kwenye vi-harusi hapaswi kutumia mali za ikulu ndip maana ya mgawanyo wa madaraka na kazi, wewe ndio mshamba kaka juzi ulivyosema alikuwa amekariri hotuba kumbe anasom,pumbav kabis wewe, hujaelimika

Dunia imebadilika!zama za baba wa Taifa si hizi

Ni hatari sana kumtembeza Rais bila kusafisha njia, haswa kwa jiji la Dodoma barabara kuu ni moja tu, wanaoenda Mwanza, Singida, Kigoma, Shinyanga, Tabora, Kagera, Geita, Simiyu na Mara wote wanapita njia hiyo
 
Dunia imebadilika!zama za baba wa Taifa si hizi
Ni hatari sana kumtembeza Rais bila kusafisha njia,haswa kwa jiji la dodoma barabara kuu ni moja tu,wanaoenda mwanza,singida,kigoma,shinyanga,tabora,kagera,Geita,Simiyu na Mara wote wanapita njia hiyo
Kwa taarifa yako, hayo magari yote binafsi uliokuwa unayaona ni ya TISS, walikuwa wanapiyta kama wajinga tu ila wapo naye.

By the way mwezi wa 10 anakuwa raia kama wengine tu, mbona Kikwete naye anatembea na gari moja, hofu ya nini kama yeye ni Rais wa wanyonge?
 
Back
Top Bottom