stellahthatcher
Senior Member
- Oct 14, 2015
- 168
- 165
Wapenzi salaam,
Katika kile kinachoonekana ni kukosa ubunifu, Wasafi Recorda wameonesha kuwa very unprofessional kwa kuchukua kazi ya Mkito katika mitandao yao ya kijamii, kuondoa logo na kuweka logo yao.
Nimeona huko Twitter raia wanalalamika kitendo hiki na kusema [HASHTAG]#WasafiWamekuwaWachafu[/HASHTAG]