Sabato ilioyopo kwasasa ni ya amri kumi.
Iko hivi Binti Sayuni, sabato licha ya kutolewa kama kumbukumhu ya uumbaji, lakini pia Mungu aliagiza iwe siku ya kupumzika. Kwa hiyo, si mara zote utakazoona neno sabato ukajua ni siku ya kukumbuka uumbaji, bali pia hutumika kuwakilisha pumziko. Ndio maana watumishi wana kitu kinaitwa sabatical leave. Kwa hiyo basi, waisraeli walikuwa na mapumziko mengi yaliyoitwa sabato, mfano sabato ya kupumzisha nchi baada ya kuilima kwa miaka sita wa saba inapumzishwa. Na ndio maana hata kuna sura zinaeleza sabato kama wingi(kwa kiingereza wakitumia neno Sabbaths).
unajua rafiki dunia ya leo watu wengi wanajua ukweli, ila maslahi ndo wameweka mbele zaidi. ukimpata padri au mchungaji wa kiprotestanti(acha na wale wa kilokole wasiosoma ha teolojia ya dini) wako wazi na kuwa imani ipi ni ya kweli. toka huko baleli na epuka mafundisho ya mama wa makahaba, kabla ya lile chukizo la uhalibifu la mwana wa kuasi halijafika sababu wakimaliza kwa waislam watahamia kwa wasabato baada ya kuikataa alama ya mnyama kwani watakuwa wamepigwa mhuri wa Mungu.
Ask God to amplify the Bible, to make things rightkama wewe unavyojifariji uko huru huku hautambui kama hauko huru.
Jana ulipotea ghafla! Au ulikwenda kuongeza elimu Kidogo?
Mbona hakuna ata fungu moja uloweka Zaidi ya story tu?
Kama mtu hajui kitu alafu analazimisha utamwitaje,mpaka leo Tanzania tuna matatizo lukuki kwa sababu ya wapotoshaji kama hao,pili lutherani na Catholic kila mmoja anajiendesha kivyake,kkkt iliasi kutoka Catholic kwa hiyo hawafungamani katika uendeshaji..Mkuu matusi si uungwana, alafu hivi lutheran seminaries huwa ni za wakatoliki?
Asante, kwa hiyo Sabato si lazima iwe siku ya Jumamosi.
Sabato ya amri ya nne katika amri kumi ambayo Mungu anaagiza kwa kusema ikumbuke siku ya saba uitakase. Hiyo ipo siku ya jumamosi, na sabato ya Jumamosi ya kila wiki inatukumbusha kuwa There is a source to our existance, kwa kifupi yatukumbusha kuhusu uumbaji wetu. Lakini sabato zile zilizoamriwa kama mapumziko matakatifu(kwa lugha nyingine ni sikukuu zilizoamriwa), hizo hazikuwa na ulazima wa kuwa jumamosi, maana mwaka huu yaweza angukia siku lets say jumnne na mwaka mwingine ikaangukia siku tofauti. Lakini SABATO YA SIKU YA SABA hiyo haina ubadilikaji wa siku, itaendelea kubaki jumamosi(according to the swahili name) hata milele na milele.
Inategemea umeanzia kuhesabia wapi...
Ukianzia Wednesday kwa mfano, siku ya saba itakuwa Tuesday...
hapana Ntuzi.Jana nilienda kupumzika.Elewa kitu kimoja.Usije ukawa na nyumba nzuri kumbe iko juu ya mchanga.Ukristo bila Roho mt ni sawa na debe tupu.Mi nikushauri fanya maombi muulize Mungu juu ya utendaji kazi wa Roho mt.Jua kuwa Biblia imeandikwa kwa uvuvio wa Roho mt. Hivyo huwezi ielewa bila uongozi wake.
Unazijua sifa na tabia za CULTS? kama huzijui ni hizi hapa
1. Identifying Feature #1: Cults have a single powerful leader who becomes the cults messiah.
The leader is a charismatic individual who focuses attention on himself and becomes more of a source for truth than God.
2. Identifying Feature #2:The cult leaders word, his teachings, become absolute truth.
They overshadow the teachings of the Bible.
3. Identifying Feature #3:Cults manipulate.Cults use pressure tactics and deception to recruit members, and they coerce members into submission, into staying. Satan uses pressure, coercion, and force
4. Identifying Feature #4:Cults appeal to miracles as a sign of their divine credentials,especially when their teachings contradict Bible truth
5. Identifying Feature #5:Cults isolate.Cults isolate converts not only from the outside world but even from their familiesa very dangerous thing.
dini yenu ndio ilivyo
huo mstari naelewa kwa hyo wewe tu ndo unaelewa vifungu wengne ni hapana ndo mana tuna ambiwa usifungwe nira na wasio amini we ume kremisha sabato tu hamna tofauti na mafarisayo kisa mtu kaponywa sabato wanalalamika kwa hyo na wewe baki hvo hvo kwangu mimi Yesu ndo bwana wa sabato end of discusion
Safi sana!!hapo namimi mkatoliki nimethibitishaJamani wapendwa wote mnaosoma Uzi huu!
Ebu tuangalie kitabu cha Acts 2:1-13 Maana hapo Roho mtakatifu ndipo alipowashukia wale 12 na kuwafanya waongee lugha ambazo si zao za asili tena bible iko wazi kabisa kwamba waliweza kuongea Kilibya, Kimisri, Kiarabu na lugha zingine nyingi tu! Kitu ambacho Walokole mnalichukua hili Andiko vibaya Na Ktk dua zeno mnapiga makelele tu ya malugha ambayo hayajulikani! Na wakati kunena kwa Lugha Ktk Hiyo acts 2:1-13 ni mtu kuongea kwa lugha ingine ili habari njema isikike!
Ni sawa na Mimi ngosha kuhubiri kwa English ambayo sio lugha Yangu ya asili!
Kwa Hilo ndugu zangu Walokole mmepotea! Na mnamsingizia Roho mtakatifu Ktk uovu! Kumbuka dhambi ya kumkufuru Roho ni dhambi--------