Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Unaelewa Hilo fungu Maana yake? Au ndio unasoma Lkn hauelewi?
Na sabato iliumbwa kwa ajili ya mwandamu! Sio mwanadamu kwa ajili ya sabato! Ktk Hilo sabato iko juu ya mwanadamu!
Na pia Yesu aliposema Kua yeye ni bwana Wa sabato Maana Yake ni kwamba yeye ndio muumbaji Kwahiyo mwanadamu hawezi kumuhukumu Yesu juu ya sabato! Kwani yeye ni Bwana! Na ni Bwana Wa sabato!
shemejiii uko deep, nifowardie zile text za mafungu ya bible kwa wassup basi nimekuwa lazy sana yani nasali wkt wa kula tu
Sent from my iPad using JamiiForums
Mkuu ni kawaida tu Hiyo ya mtu kufanya aonalo la mfaa yeye!
Mkuu umeisoma Hiyo Isaya 58:13?
Anyway! It is lawful to do good in sabbath day!
Km Ktk hoja zako au Maswali yako hapo juu kuna jambo jema mbele za Mungu ni vema kufanya!
upigwe ngumi ya mdomo kwa kutoa maneno usiyo kuwa na uhakika nayo: hiyo ndio adhabu iliyokustahili kulingana na kosa lako kwa mujibu wa sheria ya kiyahudi ambayo ilifuatwa na Yesu akiwa kama mmoja wa waalimu walioamini kwenye Ufarisayo.
huo mstari naelewa kwa hyo wewe tu ndo unaelewa vifungu wengne ni hapana ndo mana tuna ambiwa usifungwe nira na wasio amini we ume kremisha sabato tu hamna tofauti na mafarisayo kisa mtu kaponywa sabato wanalalamika kwa hyo na wewe baki hvo hvo kwangu mimi Yesu ndo bwana wa sabato end of discusion
Wakristo gani hawaruhusu kunywa pombe kidogo bila kulewa?
Hawali kitimoto eti ni haramu wakati kila kilichoumbwa na mungu mwanadamu usikiite haramu?
Hawabatizi watoto?
Hawavuti tumbaku hata kama ni dawa?
Hawaabudu siku ya j2?
Hawaneni kwa lugha?
Hawafungishi ndoa za wajawazito?(wanakupima kutumia dr wao kama mwanamke ni mjamzito kabla ya kukufungisha ndoa)
Wana idara nyingi za elimu za kukuza mtoto mpaka awe mkubwa kama vile taasisi ya elimu na sio kanisa?
Hawa hawawezi kuwa wakristo labda ni waislamu.
huo mstari naelewa kwa hyo wewe tu ndo unaelewa vifungu wengne ni hapana ndo mana tuna ambiwa usifungwe nira na wasio amini we ume kremisha sabato tu hamna tofauti na mafarisayo kisa mtu kaponywa sabato wanalalamika kwa hyo na wewe baki hvo hvo kwangu mimi Yesu ndo bwana wa sabato end of discusion
Kwani nani kasema wasabato ni Wakristo.....???
ingia hata weekpedia unagalie......Wanauelezea Ukristo na historia yake halafu wanelezea makundi mengine yanayojiita Wakristo ambayo humo wapo SDA, Kina Mormon najehova witness....
Jamani Wasabato sio wakristo....PERIOD
We mfuasi wa Kahaba La Kimarekani Hellen G White ukatoliki umeingiaje hapa...??????? Nakuuliza wewe mwenye laana ya dhehebu la mwanamke mtoka damu......
xxxx The cult xxxx
"Anyway! It is lawful to do good in sabbath day!" sijakupata vema mkuu.
swali limejengwa kwa utunzwaji wa Sabato katika mazingira yaliyopita kama kioo cha sasa. Utanisamehe nipo mbali na Biblia.
Tunafahamu,
unatakiwa kupumzika siku ya saba.
Kuwa na sikukuu mwezi wa saba siku ya kwanza.
Kupumzisha ardhi mwaka wa saba.
Kusamehe madeni mwaka wa saba.
Orodha ikiendelea...
Kwa mtazamo huo dhana ya sabato ni pana zaidi ya kwenda kanisani siku ya sabato "jumamosi".
Inajumuisha taratibu nyingi zaidi kwenye mfumo wa maisha ya muumini, hususani inapokuwa sheria ya Mungu ni ngumu kuirahisisha kwa mtazamo wa kibinadamu
We mfuasi wa Kahaba La Kimarekani Hellen G White ukatoliki umeingiaje hapa...??????? Nakuuliza wewe mwenye laana ya dhehebu la mwanamke mtoka damu......
xxxx The cult xxxx
We mfuasi wa Kahaba La Kimarekani Hellen G White ukatoliki umeingiaje hapa...??????? Nakuuliza wewe mwenye laana ya dhehebu la mwanamke mtoka damu......
xxxx The cult xxxx
Mkuu hapa kweli umenena, angalia pale MLIMA WA MOTO, MZEE WA UMEME WA TANESCO HAUPITI HAPA na YULE TAJIRI MWENYE BENKI wanavyotapeli wattu kwa kujifanya wanaponyesha! wanachukua hela zao wanasepa!
Yani Mkuu wangu hapo ndipo lilipo tatizo la hawa Wasabato....(CULT)...Yani wao wanajiona wanajua kila kitu..Wakati mi nawaona ni wapuuzi tuu....Hawa watu mi nawadharau kupita maelezo....
xxxxxx The cult xxxxxxx
Hakuna kitabu ambacho na kipenda kama biblia kwani kinamajibu yote. Wasabato angalau ndo naona wenye nuru kuliko wengine kwani wanafundisha ile kweli katika biblia kama ilivyokuwa jauli mbiu ya wa protestant enzi zile(sio wa sasa) juu ya "bible anda bible alone". Ninavyojua ile matayo 6 imeonesha jinsi ya kuomba na kufunga, pia katika biblia kunaaina mbili tu za kunena kwa lugha; 1. Kwa kutafasiri kwenda lugha nyingine tena wasizidi wawili au watatu. 2. Kwa roho wa mungu yaani kama siku ile ya pentekoste(ambo wapentekoste walipo jikita katika uvuvio) mtu anaongea kwa lugha yake na wengine wanasikia kwa lugha au kabila zao na si vinginevyo. Kunena kwa lugha lazima lugha isikike/ifahamike kwa mzungumzaji, au msikilizajg. Lengo la kunena kwa lugha ni kufikisha ujumbe wa bwana na sio "shamba la kashata*3, chukua yeboyebo yako npe viatu vyangu*3, agrrq, say baba*5"