Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.

Mkuu hapa kweli umenena, angalia pale MLIMA WA MOTO, MZEE WA UMEME WA TANESCO HAUPITI HAPA na YULE TAJIRI MWENYE BENKI wanavyotapeli wattu kwa kujifanya wanaponyesha! wanachukua hela zao wanasepa!
 
Ewe mungu uliye ziumba mbingu na nchi,baba wa bwana wetu yesu kristo,tupe roho wako mtakatifu na ufunuo wa kukujua wewe zaidi ili tuweze kulidhi mema ya utakatifu wako.
 

We mfuasi wa Kahaba La Kimarekani Hellen G White ukatoliki umeingiaje hapa...??????? Nakuuliza wewe mwenye laana ya dhehebu la mwanamke mtoka damu......

xxxx The cult xxxx
 
Lakini ungeanza kwa kuonesha una roho mtakatifu bila kuongea kwa jaziba na matusi ningeshawishika kukuamini lakn umefanana na hao unaowalalamikia mrembo

Unaweza kuonesha tusi kati ya maneno yake? Unajua maana ya jazba?
 
Ni ukweli usipingika, wapo watu waliojaa roho mtakatifu na wengine wanaigiza wana roho yaani COMEDIANS hivyo roho hamwongozi mtu kwenye dhambi hata siku moja, watu wemegeuza dini kuwa mtaji, Mm sio msabato pia wanakosea kutompa nafasi roho ktk maisha yao ili anene, pia wasabato wako sahihi kwa watu wanojiongoza kibinadamu badala ya kuongozwa na roho, ni vema watu wajitakase ili roho awafunulie yaliyo Kweli na sio kulumbana ambako hakuna tija, mwisho Mungu atahukumu wenye dhambi tuu! Kujaa roho ni sehemu ya utakatifu ila dhambi ni mtu yeyote anatakiwa kujilinda nayo isije ikamtafuna.
 
Hivi jamani hamjui Wasabato walitengwa huko Marekani maana hawakuamini dhana ya Utatu Mtakatifu....??? Mpaka kahaba Hellen G White anaaga dunia alikuwa haamini uwepo wa utatu Mtakatifu...

Walikuja kuamini uwepo wa Utatu Mtakatifu kwa shingo upande miaka ya 1900....Ndipo wakakubalika kama ni dhehebu...

Hili Dhehebh lilikuwa ni kundi la Wanaharakati waliolaaniwa...
SDA ni moja ya strange religion on Earth.............

The four Cult Religion
Seventh Day Adventist
Jehova Witness
Mormon
Christian Scientist
 
Unawazimu ehh..

upigwe ngumi ya mdomo kwa kutoa maneno usiyo kuwa na uhakika nayo: hiyo ndio adhabu iliyokustahili kulingana na kosa lako kwa mujibu wa sheria ya kiyahudi ambayo ilifuatwa na Yesu akiwa kama mmoja wa waalimu walioamini kwenye Ufarisayo.
 

Good.nimeielezea hapo juu.Nashukuru kwa ufafaanuzi zaidi.Hebu tujikumbushe kidogo.kama Yesu mwenyewe alituachia mwalim sisi tunakataa mafundisho ati kwa kushika sabato.Tutaweza kweli kuifahamu njia ya uzima.Watu wako haraka kuamini roho chafu kuliko Mungu.Acheni kuhukumu msichojua nyie wasabato.
 

Ndugu mbojo;
mbona mnaegemea tu katika kifungu kimoja hichohicho cha kunena kwa lugha nakushauri toa reference ya kifungu kingine kwa maana imeandikwa amri juu ya amri kanuni juu ya kanuni,na hii biblia bhana ina ujumbe mpana sana na usipoichunguza kwa makini ila unabaki tu kutetea kifungu hicho kimoja waweza kupotea bila kujijua ila nakushauri kaa chini na soma biblia kwa makini kifungu baada ya kifungu na tafakari ili uujue ukweli uliomo na sio kuibuka tu na kifungu kimoja na kuanza kukitetea bila kujua maana yake kwa undani zaidi na imeandikwa na waenende kwa sheria na ushuhuda ikiwa hawasemi kulingana na neno hilo kwao hapana asubuhi;
Balikiwa sabato ijayo tukutane kanisani:.
 
Mkuu nipo,dah!unanikumbuka sana bwana Ntuzu,ni muda sana mkuu. Nakuelewa bwana Ntuzu,leo mimi ni mtazamaji tuuu mda mwingi,nadhani niwaache muendelee na mjadala mkuu ntuzu,au wewe unasemaje mkuu. Mjadala mzuri.

Ila nakukaribisha kaka km sabato ijayo tukutane kanisani asante sana kwa kuelewa
Balikiwa.
 
Mkuu nakuomba Kidogo tuvumiliane na kutumia lugha nzuri!

Nisingependa kuona huu Uzi unaharibika au kufungwa!
Naelewa kuna Watu wengi wanasoma na kujifunza Ktk hii maanda na kuelewa kweli!

Nawaombeni ndugu zangu kama mtu hana hoja yoyote hapa ni afadhali tu kuwa msomaji au kukaa kimya na sio kutoleana matusi na hapa sio sehemu yake na ustaarabu ulio mzuri hapa ni ujengaji wa hoja za kimaandiko na sio vinginevyo..
Balikiwa.
 

uislam umeingiaje kwenye hii mada
 
Kuna baadhi yemerekebishwa na Agano Jipya, mfano kufa na kufufuka kwa YESU Kristo ni mbadala wa sadaka za kuteketeza.

Ndugu we mbona si mwelewa Neno la Mungu haliwezi kubadilishwa na mtu yeyote na
Bwana Mungu sio kigeugeu eti kwamba leo anakwambia hiki na kesho anabadilisha sio bhana kama unavyofikiria wewe jaribu kuwa mwelewa,
Balikiwa..
 
you must repent for blaspheming the holy spirit.

Tatizo lenu mnadhani kristo alipoahodi kumleta roho, ni kwa ajili ya kupigisha watu makelele kanisani, kumbe Yesu aliahidi roho kwa kusema yafuatayo toka kitabu cha Yohana 16:7,8
John 16:7-8 Nevertheless, I tell you the truth: It is expedient for you that I depart; for if I go not away, the Comforter will not come to you; but if I depart, I will send him to you. And when he is come, he will reprove the world of sin, and of righteousness, and of judgment:
 
Naona unazidi kuleta habari nyingi tu! Hizo ndio zimekua kauli zenu kwamba mapokeo!

Namuomba tu ndugu mbojo awe anasikiliza redio morning star kila siku ijumaa saa moja kamili jioni kipindi cha mkangala ataelewa tu hayo maswali yake yote yatajibiwa palepale
Balikiwa..
 


Jana ulipotea ghafla! Au ulikwenda kuongeza elimu Kidogo?

Mbona hakuna ata fungu moja uloweka Zaidi ya story tu?
 


tedo umekua unatuchokoza kwa hoja zako na ukijibiwa unaaza kutoa upuuzi tu!

Mimi nakuheshimu sn na ndio Maana napoona hoja zako ata km za kichokozi nakutizama tu!

Ukweli ni kwamba shida yako hii mada ifungwe au uivuruge! Ebu Kua msomaji tu na uwaache wengine wanufaike na huu mjadala!


Unatoa mamba ya ajabu ukiambia juu ya uroma wako unatokwa povu!
 
Last edited by a moderator:

Na wewe nakupa huu ujumbe maana mnadhani roho aliahidiwa ili apigishe watu makelele yasiyo na maana yoyote kumbe lengo la roho kuja Yesu alilisema waziwazi katika Yohana 16:7-8 anasema haya John 16:7-8 Nevertheless, I tell you the truth: It is expedient for you that I depart; for if I go not away, the Comforter will not come to you; but if I depart, I will send him to you. And when he is come, he will reprove the world of sin, and of righteousness, and of judgment:
Kumbe kazi ya roho ni kuuaminisha ulimwengu juu ya dhambi, kama mtu ana roho ndani yake, basi Roho anamuaminisha kwamba alichofanya ni dhambi na hivyo yampasa kuchukua hatua sitahiki. Pia ni muaminishaji katika habari za haki na mwisho anaaminisha watu waliojazwa naye katika habari za hukumu. Kwa hiyo kama hujui usaidizi wa roho akiwa hapa duniani ingia katika maandiko matakatifu na sio kiaminishwa kuwa ili ujazwe roho mtakatifu lazima upayuke payuke maneno yasiyo maana, hiyo si kazi ya roho.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…