Hoja zako zinafikirisha..!!Watu tunashindwa kuelewa jambo kwa kukataa kufafanua kichwani mwetu.
Kama mwarabu alimuamini mungu na kufanya alioamrisha iweje alete biashasha ya utumwa ?
Huyu muingereza anamfahamu vipi mungu mpaka awanyonye waafrika?
OK kuna mambo yanachanga Dini ni Biashara ila natamani watu wajue ukweli kuhusu imani vs mungu.
Coming soon
Kwanza unajua kwamba wazungu na waafrika wote ukristo tumehubiriwa au kwa njia nyingine tumeletewa??? Ukilijua hilo afu njoo ujenge hoja!Uliambiwa biblia ilishuka toka juu? Mtu yeyote mwenye mamlaka anaweza kuibadilisha tu, na akawalazimisha watu waitumie version yake, anaweza kuweka au kutoa uhusika fulani.
Wazungu wamekuwa na mamlaka makubwa hapa duniani toka zamani, mpaka sasa ndio race powerful kuliko zote, ambayo inakandamiza races nyingine! Wamethibitisha hili kwa kufanya ukoloni, na wanafanya ukoloni mambo leo mpaka leo.
Hata wakati wa ukoloni walitutesa Jumatatu mpaka Jumamosi, ila wakakupa Yesu Jumapili! We unadhani kwanini? Kwasababu walitupenda? Wakoloni walikuwa makatili hawana huruma ila kila koloni lilihakikisha watumwa wanageuzwa kuwa wakristo! Kwa jinsi navyoelewa, Dini hairuhusu ukatili wa namna ile, haya sasa niambie je dini ni dini kama tunavyoitafsiri na na kuijua leo hii, au ni programu tu ya mind control inayomfanya mtu awe mtii kwa kila analoambiwa (submission)?
Wewe kama mtu mwenye akili timamu inakuingia akili kwamba aliyekugeuza mtumwa, anakunyonya halafu anakupa dini anakutengea na muda wa kwenda kanisani? Dini ni nini kwake? Na dini ni nini kwako
Kama mtu mwenye akili timamu lazima ujue chimbuko la dini yako, kwa kufuatilia kitabu chako na vitabu vingine, sio unakuwa Mkristo /muislamu tu kisa baba ako alikuwa wa dini hiyo, dini sio kama fashion tu. Kuwa wa dini fulani baada ya kujua ukweli juu ya dini fulani. Nimejiridhisha ukristo sio dini ya kweli kwangu, na bado natafuta ukweli nijue zaidi dini ya kweli ni ipi
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Kwa nini?Jitihada za watu weusi kujifariji....
Kwa nini?
![]()
Idadi kubwa ya wakiristo na wasiyo wakristo wamedanganywa kwa kuaminishwa kuwa yesu ni white[Mzungu]
Hata michoro mingi inayotumika kumwakilisha yesu imekuwa ikimsadifu kama whiteman
Jaribu kugoogle tu neno "Jesus",99.999% ya picha utakazoletewa ni za mzungu anayefananishwa na Yesu
Hizo zote si picha za Yesu,ni picha za mtoto wa Pope Alexander wa sita aitwaye Casera borgia
Sad-fact ni kwamba,si tu Yesu alikuwa ni Black au African Hebrew
Bali characters wote wa kwenye Biblia kuanzia Adam mpaka Paul walikuwa ni Blacks
Huo ndiyo ulikuwa ukweli kabla ya miaka ya 1400
Mambo yalianza kubadilika wakati wa Renaissance period,kuanzia karne ya 14 mpaka ya 17 chini ya Pope Alexander VI
Ndipo Europeans walipoanza kumsadifu[Depict] Yesu kama Whiteman
Casera Borgia
[Casera Borgia kushoto Yesu kulia]
![]()
Inaendelea page ya kwanza

Hivi shetani yupo?Mweusi ni shetani