Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
UNAPOONESHA PICHA UKASEMA X KUSHOTO YESU KULIA . TAYARI UNAONESHA WEWE SI MKRISTO NA HUUJUI UKRISTO. HAKUNA YESU HPO KWENYE PICHA ZAKO. NA UNAPOTEZA MUDA mwingi sana kujenga hiyo dhana. Yesu hana picha na hayo ni mambo ambayo wengi hamyaelewi. Picha unazoziona ni picha tu kama picha nyingne zozote na ndo maana humsikii mkristo akilalamika akikuta hiyo picha inakojolewa, inamwagiwa maji,inakanyagwa kanyagwa n.k sababu si YESU. YESU YUPO MOYONI na si Kwenye picha.





 
 
Km mambo ya karne ya 9 kushuka chini yanajulikana kwa usahihi wake,iweje hili ya Jesus useme lilibadirishwa karne ya 14,
 
Mi nnaamini yote ila sisi tuna laana ya Nuhu sisi ni kizazi cha yule mtoto wa nuhu alie chungulia uchi wa baba yake akalaaniwa MWANZO; 9:20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
21 akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
23 Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
25 Akasema,Na alaaniwe Kanaani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
26 Akasema,Na atukuzwe BWANA Mungu wa Shemu;Na Kanaani awe mtumwa wake.
27 Mungu akamnafisishe Yafethi.Na akae katika hema za Shemu;Na Kanaani awe mtumwa wake.
28 Na Nuhu akaishi baada ya ile gharika miaka mia tatu na hamsini.
29 Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia kenda na hamsini, akafa.
 

Hahaha nimejikuta nacheka
 
jamani nimeguswa na thread hii.....ata mimi nasumbuliwa sana juu ya imani hizi kwani nafsi yangu inapata shida kuamini kuhusu hizi dini pia naomba mwongozo juu ya uislamu ili nijue hatma ya imani yangu
 
safi sana mkuu....mi pia nafsi yangu huwa inakinzana kufuata imani za dini kwakua bado cjajiridhisha na facts nazopewa kutoka kwnye dini hizi
 
Itasaidia nini leo kama Yesu atakubalika kuwa alikuwa Mweusi? (hawezi kuwa mwafrika kwa kuwa wakati wa uhai wake neno Africa halikuwepo na wala halitajwi kwenye biblia)
 

Ndugu yangu kwanza nafurahi kuwa nawe ni mtafuta maarifa na mdadisi wa mambo japo kwa uwazi umeonyesha udhaifu wa kukubali kiurahisi.

Masimulizi ya kitabu cha mwanzo hasa hadithi ya NUHU NA WANAWE IMEBADILISHWA KWA MALENGO MAALUMU ILI MTU MWEUSI AJIKUBALI KAMA NI DHAIFU NA KAUMBWA KUWA MTUMWA.

HAM HAKUONA UCHI WALA HAKUMWINGILIA BABA YAKE KINYUME NA MAUMBILE MAANA WENGINE NAO HUO WANAELEZA WATU HIVYO KWA TAFASIRI YA NENO LENYEWE.

UKWELI WA HADITHI HIO UTAIPATA KWENYE KITABU KINAITWA JASHER SURA YA 7 MSTARI WA 23 MPAKA 35.

NI KWAMBA HAM ALIIBA NGUO AMBAYO MUNGU ALIMTENGENEZEA ADAM NA HAWA PALE BUSTANINI. ILE NGUO ILIKUWA NA MAAJABU NA ALIEKIKABIDHIWA ALIKUWA LAZIMA AWE MTAWALA WA MWENZAKE.

KWAHIO HIZO NGUO WALIRITHISHANA HADI NUHU ALIPOPEWA NA BABA YAKE METHUSELAH. KWAVILE NUHU ALIONYESHA MAHABA KWA SHEM, NA NDIE ALIEKUWA ANATAKA KUMPATIA URITHI WA ZILE NGUO. HAM KWA KUJUA HILO AKAAMUA KUIBA ZILE NGUO NA KUZIFICHA.

HIVYO, HAM AKAMPATIA MWANAE KUSH NA KUSH AKAMPATIA MWANAE NIMROD THE MIGHTY.

KUMBUKA NIMROD NDIE MFALME WA KWANZA KUTAWALA MESAPOTOMIA (THE LAND BETWEEN THE TWO RIVERS.) NA NDIE ALIEPELEKA USTAARABU KTK ENEO HILO LA IRAQ NA IRAN YA LEO KWA ENZI HIZO.

HIVYO HIMAYA ZA MWANZO NI ZA WATU WEUSI TUPU. HIVYO STORI IMEGEUZWA ILI KUWAFANYA WEUSI KUWA NI KIZAZI KILICHOLAANIWA. KIMELAANIWA NA NANI?
 
Kuhusu biblia ime cover eneo kubwa la mashariki ya kati hususani eagypt na baadhi ya vi nchi vya europe,Kaka kwa sasa ngoja nisome vitabu nije na topic kuhusu ukweli wa hili jambo.THANX
 
Itasaidia nini leo kama Yesu atakubalika kuwa alikuwa Mweusi? (hawezi kuwa mwafrika kwa kuwa wakati wa uhai wake neno Africa halikuwepo na wala halitajwi kwenye biblia)
Huu uzi una kamkusanyiko ka akina Sakabona!! Hawa jamaa wananivunja mbavu kweli kwa historia yao. Wanadai eti wao wameumiza akili kuutafyta ukweli sasa sijui wao ufumbuzi huo wameufanyia wapi hadi wanashambulia wenzao.
Wameshindwa kufikia malengo wakaona kuliko kukosa kabisa ni heri wajichongee historia yao. Tunajua historia inachangamoto na ukakasi mwigi, lakini si kwa kiwango cha madai ya hao jamaa, wao wameamua kubuni mpya kabisa.
These people are mea, just take them as a joke uta enjoy sana.
 

TAIFA LA WAJINGA HUWA HALINA UKUAJI. FAMILIA YA WAPUMBAVU HUWA WAKUNUNG'UNIKANA HUFA KWA NJAA. MTU MJINGA ANATABIA YA KUMTAFUTA MJINGA MWENZIE ILI WALIWAZANE. MZAZI DHAIFU HUWA NA WATOTO VILAZA.

KIJANA DHAIFU HUWA NI MZIGO KWA WALEZI WAKE. MTU MWENYE MAARIFA DUNI HUWA MNYONGE NA MWENYE UMBEAUMBEA.

AJIFANYAE ANAJUA WAKATI HAJUI NI MWENYE DHIHAKA NA ASIE AMINIKA. MTU MNYONGE WA UFAHAMU HUJILINDA CHINI YA UJINGA WAKE.

MAARIFA YANATAFUTWA NA HAYAJITAFUTI. UKWELI UTAJIDHIHIRISHA SIKU MOJA KABLA HUJAFAA.
 
MI naamini Yesu alikua na rangi kama za waarabu wa mashariki ya kati,si kazaliwa na kukulia around Jerusalem ambayo ipo mpaka leo,Jerusalem wanaishi weusi kama sisi?
 
Japo post ni ya muda, sina uhakika na comments zote humu, ila ikumbukwe baada ya elimu ya magharibi, tulifungwa mnyororo wa kuaminishwa kuwa kila kikichotoka magharibi ndio ukweli, na ukweli mtupu. Haishangazi kwahiyo kuwa Yesu ... na qengine katika biblia hadi kwa Paulo walikuwa weusi.
Hata katika maisha ya kila siku, tuna/kuna baadhibwanaamini dawa "pekee" ya kuponyesha maradhi yetu ni ya kuzungu, hizo nyingine hata ziwe nzuri kiasi gani, ni ushenzi. einstein newton
 
Kwa watu waliogundua hii kitu ndio walitaka Africa Tuungane as one Nation tungekuwa na Power no one has ever seen but while sneaky people will not let this happen ndio maana wanafanya kila hila kuzuia
Rahisi sana kudanganya binadamu kuliko kumshawaishi kuwa amedanganywa.
 
Mmmmmmhhh...mbona waafrika tunaonekana ni dhaifu katika vitu vingi...hata kucheza mpira tu tunababaisha, hatujawahi kuchukua kombe la dunia...kwenye athletics ni hivyo hivyo labda mbio fupi...
Wakenya, Wahabeshi na Wanaigeria je?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…