Hawa niliona documentary yao BBC,ni kweli walikuwa weusiStupid kabisa , hivi nani alikwambia ukiwa mweusi ni lazima uwe unaishi Afrika? unawajua aborigines Wa Australia? wale walikuwa weusi, kule nako ni Afrika?
Lengo ni nini ?! Ni kuthibitisha kuwa Yesu alikuwa black or white?! km ni hivyo so tunakubali kuwa He was the "Son of God ?! km ni hivyo so tunakubaliana "the existence of God ?! If yes do u think this omnipotent God would allow His only begotten Son earthly origin to be hidden?!
God lives, so does Jesus
Barbarosa, Mtu mweupe hakumjua YESU mpaka pale tulipowapelekea maarifa. Ulaya sio ya wazungu. Ulaya ni ya weusi maana kabla Mzungu hajatoka mapangoni (Kumbuka WAZUNGU NI CAVE DWELLERS), MWEUSI alishajenga ULAYA.
CASTLE NA CATHEDRAL ZA ULAYA zimejengwa na weusi ambao walitawala ulaya kabla MZUNGU hajanawishwa uso.
Blacks are diverse people, the owner, the builder of world civilization. Wazungu hawakuwa na Lugha, hawakuwa wanajua kupika wala kuzika wafu wao. Utamaduni wa kijamii iliostaarabika wamefundishwa na WEUSI. Weupe walikuwa savage creatures.
Maandishi, sanaa, dini, lugha, elimu na sayansi tumewafundisha mara 3. Kwanza walipotolewa mapangoni kwa huruma ya wa Mungu, Mussa ndio alipewa jukumu lakuwafundisha angalao AMRI 10 wakati WEUSI walikuwa wanaziishi Sheria 42 ZA TOBA ya MAAT MIAKA 2500 BCE.
Pili: tukawapelekea Ustaarabu Enzi ya HELLENISTIC miaka 323 BCE, kwa kupitia wanaflasafa na wanahistoria wa kigiriki kama akina (Pluto, Aristotle, Socrates, Herodotus n.k) hawa wote walikuwa wanafunzi wa Misri na Kush (Ethiopia). WAGIRIKI ndio wakawastaarabisha WARUMI na ilipoanza dola ya kirumi hadi kuanguka kwake, ULAYA MAARIFA YAKAFA.
Tatu: Miaka ya 700 AD hadi 1454 AD, WAISRAEL (MOORS) wa Imani ya Kiislamu, walipeleka tena Elimu na Ustaarabu ULAYA. Hivyo wakatawala Ulaya miaka 800 na ndicho kipindi wazungu wanakiita DARK AGES IN EUROPE na karne ya 15 ndipo wakaanza kujitutumua kwa kujaribu kuwang'oa hawa WEUSI MOORS, ili wajitawale wenyewe. Kumbuka mwaka 1454 Jambazi "Kristofa Kolombas" (Sipendi kumwandika jina lake kizungu maana naandika kwa kiswahili ili watu waelewe) alipelekwa na WEUSI MOORS THE NAVIGATORS, VISIWA vya AMERIKA NA AMERIKA na huko akawakuta weusi wanaishi kipeponi kabisa AKADUWAA KUWAKUTA WEUSI HUKO AMERIKA.
Hivyo, Yesu wamepelekewa na ndio maana Cathedral zote ulaya zina watume na malaika WEUSI, Yesu na Maria wanaomuabudu ni Mweusi maana sanamu kuanzia Ureno hadi Urusi ni za weusi tupo.
Dah...jamaa unaandika vitu kirahisi sana.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa akili za Mwafrika zinaenda zikididimia na kupotea huku za Mzungu zikizidi kuchanua??? Naona kama vile Unazidi kuwatusi waafrika na hizo Afrocentrism zako.
Acha Waafrika waendelee kupambana na kutafuta maarifa ya kusonga mbele badala ya hizo ideology zenu ambazo hazitamsaidia kitu na sanasana zitambwetesha tu na kuzidi kumdidimiza.
Haya tufanye Ulaya yote ilikua ni ya Waafrika, wakati mzungu akiishi mapangoni, halafu utuambie maendeleo yalianza nyakati zipi na kipi kilimtokea huyu Mwafrika aliyekua ameendelea hata akazidiwa na huyu mzungu wa mapangoni? Ikawaje hata sinema iishie kwa mwafrika kuishi huku kwenye mapango ya Afrika tena jitihada nyingi zikifanyika ili kumuondoa mapangoni au na kumstaarabisha?
Nimekutana na watu ni wajinga
Ndio ni wajinga
wanaanza kulalamika wamebadilishiwa historia
kisha wakatumia biblia hiyo hiyo kuthibitisha wamebadilishiwa (ni ujinga first class)
kama wangetaka kubadilsha hata huo ushahidi usingeukuta kwa sababu wenzetu wameisoma mstari kwa mstari hadi wakaibadili lugha
Ujinga ni kusema wazungu sio superior huku hata simu unayotumia wamegundua wazungu
Ujinga ni kukataa maandishi ya biblia kisha ukakubali alichoandika Albert huku ukiendelea kugoma kabisa wazungu sio watu na miakili zao
Ni ujinga kukubali binadamu wa kwanza ni nyani ila ukiulizwa huyo nyani alitoka wapi zitaanza porojo ukiulizwa umesoma wapi atakutaji jamaa wake ila biblia anaipinga
ujinga ni kucopy japo ujanja ni kubadili lugha
ha ha ha ha ha
Hakuna mzungu angeweza kubeba ule msalaba kwa umbali ule..!!!
Dah...jamaa unaandika vitu kirahisi sana.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa akili za Mwafrika zinaenda zikididimia na kupotea huku za Mzungu zikizidi kuchanua??? Naona kama vile Unazidi kuwatusi waafrika na hizo Afrocentrism zako.
Acha Waafrika waendelee kupambana na kutafuta maarifa ya kusonga mbele badala ya hizo ideology zenu ambazo hazitamsaidia kitu na sanasana zitambwetesha tu na kuzidi kumdidimiza.
Haya tufanye Ulaya yote ilikua ni ya Waafrika, wakati mzungu akiishi mapangoni, halafu utuambie maendeleo yalianza nyakati zipi na kipi kilimtokea huyu Mwafrika aliyekua ameendelea hata akazidiwa na huyu mzungu wa mapangoni? Ikawaje hata sinema iishie kwa mwafrika kuishi huku kwenye mapango ya Afrika tena jitihada nyingi zikifanyika ili kumuondoa mapangoni au na kumstaarabisha?
Dah...jamaa unaandika vitu kirahisi sana.
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa akili za Mwafrika zinaenda zikididimia na kupotea huku za Mzungu zikizidi kuchanua??? Naona kama vile Unazidi kuwatusi waafrika na hizo Afrocentrism zako.
Acha Waafrika waendelee kupambana na kutafuta maarifa ya kusonga mbele badala ya hizo ideology zenu ambazo hazitamsaidia kitu na sanasana zitambwetesha tu na kuzidi kumdidimiza.
Haya tufanye Ulaya yote ilikua ni ya Waafrika, wakati mzungu akiishi mapangoni, halafu utuambie maendeleo yalianza nyakati zipi na kipi kilimtokea huyu Mwafrika aliyekua ameendelea hata akazidiwa na huyu mzungu wa mapangoni? Ikawaje hata sinema iishie kwa mwafrika kuishi huku kwenye mapango ya Afrika tena jitihada nyingi zikifanyika ili kumuondoa mapangoni au na kumstaarabisha?
Vita huwamaliza na kuwatawanyisha watu kivita na mafikra.Mnaacha kupambana mnaanza kuji paste kwenye historia za wenzenu...acheni zenu za kudumazana hizo...
Nilikua nimejipanga kukujibu kwa hoja, lakini kwa hili hapa nilipo Red, nimeshaulewa ufahamu wako ulipo na jinsi mnavyoyachukulia maandiko, hivyo sitajisumbua. Nakuacha uendelee kupiga soga lakini acha nikupe pole tu.Nakubaliana nawe kwa asilimia zote hili la Mzungu.
Isipokuwa tufahamu kuwa hakufa kwenye Msalaba. Walimnyonga kwenye Mti. Dunia imehadaika na ubunifu wa warumi na wagiriki.
Ushahidi: Soma Kitabu cha Matendo ya Mitume 10: 34-35
Kuna post yako hapo nyuma umesema hakuna mtu anayeitwa Jesus/Yesu aliyewahi kanyaga dunia hii iNakubaliana nawe kwa asilimia zote hili la MzI,ngu.
Isipokuwa tufahamu kuwa hakufa kwenye Msalaba. Walimnyonga kwenye Mti. Dunia imehadaika na ubunifu wa warumi na wagiriki.
Ushahidi: Soma Kitabu cha Matendo ya Mitume 10: 34-35
Blacks were the royalty in Portugal.
Sara Forbes Bonetta. Brighton, 1862.
Genghis Khan
Hauko seriousView attachment 357179
Black leaders were good in using technologies.
Viongozi wa Kiafrika ndiyo walikua na mwamko mkubwa katika matumizi ya teknolojia za kisasa. Inasemekana ndiyo waliosafiri kwa ndege mara nyingi zaidi kwenda masafa ya mbali kuliko hao wazungu.