warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,422
Habari za asubuhi wambea wenzangu africa mashariki na duniani kote, ningependa kuwapata taarifa kuwa mbea mwenzetu mwenye kiwango cha hali ya juu aka pacha ya warumi aitwaye Dinazarde amepata matatizo kidogo kwenye account yake, anasema kila aki log in kwa jina la Dinazarde mitambo inagoma kabisa haijulikani kama imevamiwa na boko haramu au vipi, so anaomba msaada kwa wataalamu wowote wa IT wamsaidie ku recover account yake, ila kwa sasa hivi amefungua account mpya ijulikanayo kama My hubby , please wambea wenzangu tuungane kwa pamoja kumsaidia mbea mwenzetu hili tuendelee na gurudumu la umbea kwa kasi mpya na ya ajabu.
Ni wako mbea aliyetukuka Africa mashariki, warumi aka juma msogoti
Ni wako mbea aliyetukuka Africa mashariki, warumi aka juma msogoti
Last edited by a moderator: