Warumi baby

Warumi baby

Sasa utata upi? Mbona warumi anawachanganya hivyo? Im not a big person as you guys think, just small one, so chukueni jembe mkalime

sema moja... are you male, female au shemale?
 
Last edited by a moderator:
Wewe unauliza hivyo kama nani? Iv akili yako ipo sawa? Labda kwa mfano nikiwa jinsia yeyote kati ya hizo mbili, we unatakaje?

akili yangu iko sawa kabisa.. nina wasi wasi na za kwako... gd nyt.
 
akili yangu iko sawa kabisa.. nina wasi wasi na za kwako... gd nyt.

Akili yako haipo sawa, bora ulale ikue vzuri nyambafu, nenda kawaulize waliokuzaa jinsia zao then ndo uje uniulize n mm
 
Akili yako haipo sawa, bora ulale ikue vzuri nyambafu, nenda kawaulize waliokuzaa jinsia zao then ndo uje uniulize n mm

Binamu hebu twende kule kuna umbea Dai anataka kumuoa Menina na vikao vishaanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom