Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Yani shikamoo sana...mi nimepiga na magoti kabisa
Warumi ni mwanaume bana acha hizo
Yani shikamoo sana...mi nimepiga na magoti kabisa
Bina wapotezeee ukiona hivyo ujue kuna kitu anakitamani kutoka kwako na hakipati, twenzetu kule
Unataka Mungu akupe gunia la chawa au akupe mapele mwilini?
....mie natangulia.
Au tumfungie mtaa huyu anayejiita shemeji mtarajiwa!!!
Tuachane nae
kazipata sana..
hata yeye kakumiss sana!
have you ever climb mount kilimanjaro?
have you ever climb mount kilimanjaro?
Warumi ni mwanaume bana acha hizo
Poa poa.
Naona swali lako lina majibu mia....
ila wakubwa tushaelewa....Kwi!!!!! kwi!!!!!! kwi!!!!!
its a serious matter let follow u to wozap...
Poa, naku-wai
Bahati imekufata hadi miguuni si vyema kuipiga teke.Binamu hebu mkubalie mtoto wa mwanamke mwenzio
Ahaaaa duuuh
khaaaaa kumbe warumi ni mwanamke uwiiiiii shikamoo jf aiseee
Unataka Mungu akupe gunia la chawa au akupe mapele mwilini?