luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,788
habari zenu wakuu,
najua wengi mtashangaa kwa nini nimeamua ku express hisia zangu hapa.
sababu iliyonifanya ni kutokana na huyu bi dada namuogopa(sijui kwanini
ila ninampenda sana ingawa sijawahi kumuona) sana kiasi kwamba nimeogopa
kumzamia pm moja kwa moja.
sina maneno mengi ila ndio hivyo tena kaka yenu nimetokea kumpenda sana
huyu dada anayeitwa warumi
warumi naomba unionee huruma me nateseka juu yako...najua unaweza kuhoji
nakujua au nakufahamu? ki ukweli sikufahamu ila ndio hivyo moyo wangu
umedondoka kwako.
please warumi naomba usinijibu vibaya
ukaniumbua mwenzako. kama nimekuudhi naomba unisamehe kisha unipotezee.
narudia tena dear kama nimekuudhi unisamehe na unipotezee.
warumi wahi kuna roho ya mtu hapa inadondoka plz haraka sana
Last edited by a moderator: