Warning: kuhusu NOKIA LUMIA

Warning: kuhusu NOKIA LUMIA

kipenga

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
219
Reaction score
55
Hello friends

Kama ulikuwa hujui soma hapa chini.
Simu za nokia lumia asilimia zote
hamna hata inayokubali kufanya kazi
kwenye matumizi ya kuhusiana na
pesa kwa maana ya M pesa au Tigo pesa na kuendelea
kwa hiyo penda kujua na
kufahamu kama unapo chagua simu
akikisha umesha ijua kiundani zaidi
na sio ununue simu usiyoijua. . . .
i know wat am talking.

Take-care friends.
 
simu zisizosuport m-pesa ni simu zinazotumia windows phone 7, sio nokia lumia tu zipo samsung, htc, lg, nokia wenyewe kuna alcatel na manufacture wengine wa kichina.

Nokia lumia zinzotumia windows phone 8 zote zinaingia mpesa na zinapiga kazi vizuri zaidi ya android na ios interms of perfomance.

Kuzijua simu za nokia zinazotumia windows phone 8 angalia namba zake zinaishiwa na 20 mwisho kuna
-lumia 920
-lumia 820
-lumia 720
-lumia 620
-lumia 520

so unaposema simu za lumia unakua kama unakosea mkuu
 
Za zamani zenye Windows Phone 7.X ndo hazina support ya menu za USSD (Mpesa etc)

Za kisasa zenye Windows Phone 8 zina full support ya USSD menu hizi ni zote zenye kuishia na 20 kwenye model number zake so 520, 620, 720 , 820 , 920 etc hizi zitapiga Mpesa kama kawa.
 
Dah tumepost yale yale, kweli dunia ndogo.
 
Hello friends

Kama ulikuwa hujui soma hapa chini.
Simu za nokia lumia asilimia zote
hamna hata inayokubali kufanya kazi
kwenye matumizi ya kuhusiana na
pesa kwa maana ya M pesa au Tigo pesa na kuendelea
kwa hiyo penda kujua na
kufahamu kama unapo chagua simu
akikisha umesha ijua kiundani zaidi
na sio ununue simu usiyoijua. . . .
i know wat am talking.

Take-care friends.

Mkuu uwege unafanyaga kautafiti kidogo basi
It seems like u dont know wat ur talking
 
chief mkwawa nakukubali sana kuhusu hii teknolojia ya simu.
 
simu zisizosuport m-pesa ni simu zinazotumia windows phone 7, sio nokia lumia tu zipo samsung, htc, lg, nokia wenyewe kuna alcatel na manufacture wengine wa kichina.

Nokia lumia zinzotumia windows phone 8 zote zinaingia mpesa na zinapiga kazi vizuri zaidi ya android na ios interms of perfomance.

Kuzijua simu za nokia zinazotumia windows phone 8 angalia namba zake zinaishiwa na 20 mwisho kuna
-lumia 920
-lumia 820
-lumia 720
-lumia 620
-lumia 520

so unaposema simu za lumia unakua kama unakosea mkuu
hapo nyekundu mbona uongo mtakatifu,,ni nani huyo anayejiingiza kwenye matatizo ya kununua simu za Nokia mwaka 2013, bora usevu hiyo hela ununue i4n au galaxy :twitch:
 
Mie lisimu langu limegoma hata ile huduma ya airtel yatosha. Full maumivu!
 
lumia
 
hapo nyekundu mbona uongo mtakatifu,,ni nani huyo anayejiingiza kwenye matatizo ya kununua simu za Nokia mwaka 2013, bora usevu hiyo hela ununue i4n au galaxy :twitch:

Kwa maisha ya kitanzania cmu unataka ukae nayo miaka mitano nokia mpango maana iphone hawakai kukubania applications na ukija samsung vifaa vyao havidumu na bei juu mfano angalia tu battery kukaa na charge!
 
Kwa maisha ya kitanzania cmu unataka ukae nayo miaka mitano nokia mpango maana iphone hawakai kukubania applications na ukija samsung vifaa vyao havidumu na bei juu mfano angalia tu battery kukaa na charge!
ile generation ya kukaa na simu miaka mingi iliyotawaliwa na ( conventional phones) za nokia kipindi kile ishapita, sasahivi tushahama kutoka (analog - digital) kuna smartphones ambazo zimekuwa basic need katika maisha ya kila siku ya mwanadamu na Nokia yoyote haiSatisfy
 
hapo nyekundu mbona uongo mtakatifu,,ni nani huyo anayejiingiza kwenye matatizo ya kununua simu za Nokia mwaka 2013, bora usevu hiyo hela ununue i4n au galaxy :twitch:

seems unaishi vichakani maybe so unaona galaxies na iphone ndo simu pekee?
Take your time pitia hizi link.

The winners of the 2012 Engadget Awards -- Readers' Choice

Now that the Samsung Galaxy S 4 is official, which high-end smartphone would you buy?

Gizmodo Awards 2012: Mobile Phone Of The Year | Gizmodo Australia

ukimaliza kusoma hizo link angalia kidogo na haka kavideo maybe katakuzindua

http://www.youtube.com/watch?v=Z19vR1GldRI
 
hizo site zako Gizmodo za Australia, Best Smartphone kwa miezi 12 iliyopita ni Samsung Galaxy S3 dunia nzima inajua, acha papara soma vizuri 'Global mobile Awards' ndio inayotoa statistics zote kwa mwaka mzima, ceremony ya mwisho ilifanyika February 26, 2013 kule Barcelona, Spain...soma hapa ( http://www.globalmobileawards.com/winners-2013 ) hizi zingine za kukusaidia kuflash akili iliyotawaliwa na vibonde Nokia..

http://www.uswitch.com/mobiles/news...y_s3_grabs_best_smartphone_award_at_mwc_2013/

T3 Gadget Awards 2012: Phone of the Year | T3

The best smartphone of 2012: Samsung Galaxy S3 | Mobile | Geek.com

Best smart phones | Reviews | CNET UK

Announcing the Winners

Best Mobile Health Product or Service
MIPsoft for BlindSquare
Highly Commended – Swiftkey Healthcare


Best Mobile Education or Learning Product or Service
Mobilink for SMS Based Literacy program

Best Mobile Product or Service for Automotive
BMW i, MINI, Sixt and Vodafone Group for DriveNow Premium Car Sharing

Best NFC /Mobile Money Product or Service
Etisalat for Flous – The Etisalat Commerce Programme

Best Mobile Publishing Product or Service
Ver Se Innovation for NewsHunt

Best Mobile Innovation for ‘Smart Cities'
Streetline for Parker

Best Mobile Enabled Consumer Electronics Device
Samsung Electronics for Samsung GALAXY Camera

Best Enterprise Mobile Service
Mobilelron for Version 5 Complete Enterprise Persona

Best Consumer Mobile Service
Comviva for Mahindra Comviva's mobiquity™ MFS platform powering mTicketing service for Bangladesh Railways

Best Advertising or Marketing on Mobile
McCann Worldgroup (Hong Kong) for Chok! Chok! Chok!

Best Network Product or Solution for Serving Customers
NTT DOCOMO for Hanashite Hon'yaku, world's first automatic voice translation service

Best Product, Initiative or Service in Emerging Markets
Ericsson for Amazon Connection– a digital inclusion program in the Amazon

GSMA mWomen Best Mobile Product or Service for Women in Emerging Markets
Asiacell for Almas Line

Best Use of Mobile in Emergency or Humanitarian Situations
Vodafone Foundation for Vodafone Instant Network

The Green Mobile Award
Indus Towers for Green Sites Project

Best Mobile App for Consumers
Facebook

Best Mobile App for Enterprise
Evernote

Judges Choice – Best Overall Mobile App
Waze
Highly Commended – Sky Sports F1 Companion


Most Innovative Mobile App
McCann Worldgroup (Hong Kong) for Chok! Chok! Chok!

Smartphone Application Challenge
AT&T for Application Resource Optimizer (ARO)

Best Application using Network APIs
Bharti Airtel Limited for my airtel app

Best Smartphone
Samsung Galaxy S3

Best Feature phone or entry level phone
Nokia Asha 305

Device Manufacturer of the Year
Samsung

Best New Mobile Device
HTC

Best Mobile Tablet
Google & Asus for Nexus 7

Best Mobile Infrastructure
Samsung Electronics for Smart LTE Networks

Best Mobile Technology Breakthrough
Accuris Networks for AccuROAM Wi-Fi: Making Wi-Fi a carrier driven extension of GSM for Offload and Roaming

Best Cloud Based Technology for Mobile
Jasper Wireless cloud-based connected devices platform for machine-to-machine (M2M) and consumer electronics

Best Mobile Safeguard & Security Products and Services
AdaptiveMobile and Syniverse for Messaging Trust

Outstanding LTE Contribution
SK Telecom for 4G LTE with PETA Solution

Outstanding Overall Mobile Technology – The CTO's choice
Samsung Electronics for Smart LTE Networks

Spectrum for Mobile Broadband Award
Government of New Zealand

Mobile for Development Award
U.S. Agency for International Development

m-Government Award
Government of Moldova

GSMA Chairman's Award
Joint Winners KT & SK Telecom




 

Kaka mbona hako kavideo kako hakawezi kukusapoti katika mjadala huu? Hako si katangazo tuu,achana nako katakupotezea,nguvu na hoja za msingi ambazo pengine unazo juu ya thread hii.
 
Back
Top Bottom