hapo nyekundu mbona uongo mtakatifu,,ni nani huyo anayejiingiza kwenye matatizo ya kununua simu za Nokia mwaka 2013, bora usevu hiyo hela ununue i4n au galaxy :twitch:
watu wengine ni waku ignore tu hata ukiwapa elimu kama hii wahakuelewi, kuna mwingine alinifuata nimuuzie simu yangu tena kwa kunilazimisha nikamuuzia baada ya siku mbili akanifuata anadai simu haikai na chaji nikamrudishia hela yake nikamwambia kuwa yeye ni ---- katika hizo siku mbili ni siku gani alikuwa hachanyanyi haya uliyoyaandika hapo juu, baadae akaja eti achukue tena nikamwambia azifuate madukani zipo kibaounapokea simu
unapokea msg
unapiga simu
unatuma msg
upo online whatsapp
upo online sijui twitter facebook instagram
wewe ni senior member jf unataka kila saa uingie
bado umesign kwa emails yahoo gmail hotmail na saa zingine msn messenger
teh teh hiyo hiyo unaandaa presentation ya kesho
kila saa kujifotoa mapicha na mivideo
bila kusahau you tube kila saa
simu hiyo hiyo unailalamikia haikai na chaji??
ahaaaa zioneeeni huruma basi na muwe fair kufanya judgement