Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba amesema "eti mwalimu akirudi ghafla akakuta maraisi wawili wanapigiwa mizinga 21 angeshangaa sana" Huyu mzee ni bure kabisa mizinga hata maiti ya mwanajeshi inapigiwa sasa hapo mizinga ina thamani gani mpaka ikawa ni hoja?
 
Kwani hao wapemba sio wazanzibari???
Kwa mfano bungeni hawajadili tena rasmu ya katiba bali wanamjadili tu Warioba kwa nini asiwajibu anapopata nafasi? hana uwezo wa kuwajibu bungeni hata kwenye media asifafanue upotoshaji unaofanywa tena kwa kumuandama yeye binafsi??
 
Faiza, umewemleta hapa huyu kihiyo na hoyuba yake ili abishane na Malechela au Warioba?
maana vitu anavyoongea yeye mwenyewe haelewi anasema nini!!
" Mambo wanayoyataka wa Zenji watawapa!" siku zote walikuwa wapi kuwapa?
Inakuwaje ZNZ ndo wapewe, wasio wa Zenji je?

Nimemleta ili wana JF walio Waislaam waelewe jinsi Waislaam wanavyotazamwa kwa mtazamo upi na Wakristo waliopo madarakani.

Ikiwa William Lukuvi ana hofu na Zanzibar kwa kuwa tu ni Waislaam, vipi wa hapa Tanganyika? hana hofu nao?
 
Kisoda Hakuna aliyesema Tume iwahoji watu wote Acha Akili Za Pumba! mnadanganya watu tu!
Watoe HESABU SAHIHI KWA HAO HAO WALIOHOJIWA BAASI!
Walihoji Watu 371000 wote kama Muundo wa Muungano ungekuwa ni Tatizo la KIKATIBA wangeuzungumzia tuuu, UHURU huo walikuwa nao NDIO kuwa Hawakuuzungumzia Ina Maana Kwao Haukuwa Jambo la Kusumbua Akili AMA Kikwazo Kwao !
Iweje Leo watu 17000 waliotoka Serikali 3 Kati ya 371000 na zaidi ULIOWAHOJI UTWAMBIE ETI NI ASILIMIA 60% HESABU ZA KIMWINYI hizo kama alilosema NYERERE 1+1=3
 
Warioba eti anasema "wasizungumzie takwimu au gharama watafute majibu ya hoja na maswali"
hivi kweli kuchakachua takwimu siyo hoja? au gharama siyo hoja? Warioba amejidhalilisha kweli.
 
Mtu mzima kama Warioba nakuja na hoja kama vile hakwenda shule eti:-
-Wewe ni mtanzania ila kama sio mzanzibar huwezi kupata aridhi znz pia huwezi kupiga kura znz
Ila kwao wakija tanganyika ni kinyume chake

-Takwimu ni za kweli ni kwanini kwa nyalali na kwa kisanga hawakusema twakimu ni za uwongo?
-anasema kipindi cha nyuma wanajeshi walikuwa choka mbaya lakin hawakufikir kupindua nchi kwa hiyo hoja ya kupindua nchi kwa sababu ya serikal tatu haitakuwa na fedha ya kuwalipa haina mashiko
-Wasizungumzie takwimu au gharama watafute majibu ya hoja na maswali
-Warioba amesema mwalimu akirudi ghafla akakuta maraisi wawili wanapigiwa mizinga 21 angeshangaa sana"

Mtu kama wewe unaweza ukawa unafiri kwa kutumia 0655, mwambie aliyekutuma tunahitaji Tanganyika yetu hakuna Mzanzibar anayejiita Mtanzania, hafu bado unataka sisi Watanganyika yukae kimya
 
Warioba eti anasema "wasizungumzie takwimu au gharama watafute majibu ya hoja na maswali"
hivi kweli kuchakachua takwimu siyo hoja? au gharama siyo hoja? Warioba amejidhalilisha kweli.

Acha kutumiwa kijana jitambue hata hao Wazanzibar wanawaona hamnazo iweje ujikane Utanganyika wako wakati wao wanatukuza Uzanzibar wao! Swala la takwimu hujuji hesabu ndo maana unakomaa nalo
 
Warioba anasema "kama shirikisho lina ukakasi iweje kama Taifa tunajiandaa kuingia kwenye shirikisho la kisiasa la Afrika Mashariki" hivyo huyu Mzee nani alimpa ujaji? haya majibu ni ya mtu asiyenda shule.
 
Ninyi wenye Adabu tufanye MMEFANYA nini kwa KARUME na Nyerere ?????
Warioba Hajatukanwa Lakini Haiwezekani UKUBALI HITIMISHO LILITOTOKANA NA TAKWIMU ZA ULONGO/KUPIKWA.
Kisingizio WARIOBA ANAHESHIMIKA! Alokwambia TUME Au Warioba hawakosei nani????
 
Acha kutumiwa kijana jitambue hata hao Wazanzibar wanawaona hamnazo iweje ujikane Utanganyika wako wakati wao wanatukuza Uzanzibar wao! Swala la takwimu hujuji hesabu ndo maana unakomaa nalo
Utanganyika utakupatia tonge? Tanganyika ni jina tu kwa taarifa yako Tanganyika ni jina la kimanyema na wamanyema asili yao Congo kwa hiyo Tanganyika ni jina la Kikongo ndiyo maana kule Kigoma waliongoza kwa kudai Serikali tatu
 
Aisifuye Mvua imemnyea Mnadhani ninyi ni MASIHI ninyi mna Haki ya Mawazo yenu wengine Wakiwa na HAKI hiyo WAMENUNUA NINYI MIUNGU KUWA YENU NDO SAHIHI????
 
Nimemleta ili wana JF walio Waislaam waelewe jinsi Waislaam wanavyotazamwa kwa mtazamo upi na Wakristo waliopo madarakani.

Ikiwa William Lukuvi ana hofu na Zanzibar kwa kuwa tu ni Waislaam, vipi wa hapa Tanganyika? hana hofu nao?
Waliopo madarakani au waliopo CCM?
Bado kitambo kidogo mtaelewa tu waasisi wa siasa za chuki za kidini na kikanda ni wakina nani.
Mlikuwa mnajifanya kupiga kelele ya mfumo kristo....ngoja ndo mtauelewa ndani ya serikali yenu ya CCM.

Nimeshakwambia tena, kamwambie JK wakati mkipata kikombe cha chai kwamba Lukuvi aondolewe. kama hata wewe bibi wa Kariakoo unashindwa kusemezana na JK na akakusikia itakuwa kelele za JF?
 
Utanganyika utakupatia tonge? Tanganyika ni jina tu kwa taarifa yako Tanganyika ni jina la kimanyema na wamanyema asili yao Congo kwa hiyo Tanganyika ni jina la Kikongo ndiyo maana kule Kigoma waliongoza kwa kudai Serikali tatu

Hivyo hivyo tu ilimradi Tanganyika irudi.
 
Utanganyika utakupatia tonge? Tanganyika ni jina tu kwa taarifa yako Tanganyika ni jina la kimanyema na wamanyema asili yao Congo kwa hiyo Tanganyika ni jina la Kikongo ndiyo maana kule Kigoma waliongoza kwa kudai Serikali tatu

Unajua neno Ilala asili yake ni nchi gani?Limetokea Malawi lakini mbona tunalitumia kama jina la moja wapo za Wilaya za Dar esa salaam
 
Mleta mada, nimesoma bandiko lako lkn sikumaliza, uneishia kumtuhumu Warioba kama CCM wanavyofanya. Umeshindwa kujenga hoja, mbaya zaidi, umeshindwa kujibu hoja za Warioba hata moja! Warioba, ameshajibu hoja zenu zote, na akauliza maswali saba ambayo si Jk, Pinda, Shein, wala Dk Migiro na wajumbe wote wa BLMK ambaye amejibu hata swali lake moja.
 
Mimi warioba hanishangazi sana siku zote ni mtu wa hila na kupenda sifa bandia....muulize mwinyi na wassira wanamjua warioba

Mbona hamuongelei wajumbe wengine wa tume? Kwani Warioba alikua peke yake? Tumeshashtukia propaganda zenu maccm safari hii hadanganywi mtu
 
Utanganyika utakupatia tonge? Tanganyika ni jina tu kwa taarifa yako Tanganyika ni jina la kimanyema na wamanyema asili yao Congo kwa hiyo Tanganyika ni jina la Kikongo ndiyo maana kule Kigoma waliongoza kwa kudai Serikali tatu

Kijana hebu rudi shule ukafundishwe somo la History. Nitajie indigenous tribe la Tanzania bara, kama siyo upuuzi unaouandika hapa. Jina Tanzania lina maana gani? Zanzibar je?
Kwa taarifa yako, tunaihitaji Tanganyika yetu ili tuwe na amani mioyoni mwetu, kwani ndiyo original name tuliyopatia uhuru kama walivyo wenzetu Wazanzibari! Mkataa kwao ni mtumwa kijana. Tanzania siyo kwetu, ni nchi ya kufikirika. Wake up, kijana, wakati wa kujitambua ni sasa!!
 
warioba akiutaka urais hata agombee kupitia jahazi asilia atapata,kwani amenesha uzalendo kwa nchi yake.maccm yalivyozoea magumashi walitamani mwenyekiti wa tume angekuwa luku.vi.na ulichoandika umeonesha ni kiasi gani ulivyo kaburu mweusi,kumbe umasikini wa pemba ni mpango mahususi!,sasa mbona huwa hamuipigii debe kuwa ni moja ya mafanikio ya muungano kwa miaka 50?.heri wewe umesema.
 
Kisoda Hakuna aliyesema Tume iwahoji watu wote Acha Akili Za Pumba! mnadanganya watu tu!
Watoe HESABU SAHIHI KWA HAO HAO WALIOHOJIWA BAASI!
Walihoji Watu 371000 wote kama Muundo wa Muungano ungekuwa ni Tatizo la KIKATIBA wangeuzungumzia tuuu, UHURU huo walikuwa nao NDIO kuwa Hawakuuzungumzia Ina Maana Kwao Haukuwa Jambo la Kusumbua Akili AMA Kikwazo Kwao !
Iweje Leo watu 17000 waliotoka Serikali 3 Kati ya 371000 na zaidi ULIOWAHOJI UTWAMBIE ETI NI ASILIMIA 60% HESABU ZA KIMWINYI hizo kama alilosema NYERERE 1+1=3

Mimi na takwimu wapi tena?
sijakuelewa unabisha, unafafanua ama unarukia majina ya watu??
 
Back
Top Bottom