Warioba Anataka Nini Hasa?

Warioba Anataka Nini Hasa?

Mkuu Grand Master Dulla Kwanza naomba nianze kukuuliza swali dogo sana hiyo nchi yetu unayoizungumzia ni ipi,inaanzia wapi na kuishia wapi,ilianza mwaka gani,bado ipo vile vile kama mwanzo ?.

Ngoja niendelee kukudadavulia.Kama unazumzia Jamhuri ya muungano Tanzania hiyo nchi haipo hata kidogo labda kama unataka kuiweka akili yako kabatini kama unavyoweza kuweka koti suruali na nk lakini ukitumia akili yako hata kwa 10% hakuna muungano laiti ungekuwepo Rais wa Zanzibar asingepigiwa mizinga 21,Mmasai,Mchagga,Mpare,Mkaguru,Mmakonde,Msambaa,Mndengereko wa Tanganyika asingekuwa na hata ya kuomba kibali cha ukaazi Zanzibar,angekuwa na haki za kugombea na kuchagua viongozi.............

Mkuu wangu usikubali kushikiwa akili na viongozi maslahi tumia akili yako kiduchu utabaini huu muungano ni dubwana linalotafuna kodi za WaTanganyika kwa manufaa ya kisiasa na si vinginevyo.
 
Last edited by a moderator:
Kwanini hawa maccm wana ng'ang'ania serikali 3 gharama, 2 hazina gharama. wanasahau kila kukicha wanagawa mikoa na wilaya lukuki kutoka aliyoiacha huyo wasisi 25 tu kwa ujumla wa bara na visiwani, leo hii hata sijui imefikia mingapi? wana sahau kwamba hizo ni gharama pia za kuwalisha hawo washkaji zao wanao waweka kuisimamia hiyo mikoa na hizo wilaya.
Sasa kama hiyo hiyo TZ-Bara ndo inagharamikia mambo yoote ta Muungano na Tanganyika(iliyofichwa) na hao ZNZ hawana jipya hapo, halafu jitu lina simama na kusema gharama za kuendesha serikali ya 3 zitatoka wapi? si bure huyu karogwa.
 
HUNA HOJA YENYE MSHIKO HAPA! kukaa zanz miaka 6 ndo umeijua historia? wapo waliozaliwa huko tuwaweke kundi gani? soma kwanza historia na ulete rejea hapa siyo habari za vijiweni!
 
chama cha majuha-wavivu wa kufikiri wepesi wa kukwapua fedha za umma. Mburukenge waku.....b.........pwaaaaaaa
 
Sasa kama ni hivyo kwa nini kumlaumu warioba? kama watanganyika wanaishi kama wageni znz na hakuna uwezekano wa kubadili hilo ni sawa ya tanganyika waishi kama wakiwa kwao znz?Grand Master Dulla

Kwa hili swali lako linajibika hii mbona ipo kwenye moja ya kero za muungano na linaweza kutafutiwa ufumbuzi,muwaonee huruma wenzenu wa pemba jamani waliopoteza ujana wao kwenye nchi ambayo si yao siku muungano ukivunjika sisi tutawafukuza na rais kahakikisha hilo huoni tutawatia umasikini jamani maana kauri ya rais si ombi ni amri,cha ajabu waunguja wanaoutaka muungano hajajenga bara bali wale wapemba wasioutaka ndo kama kwao sasa hivi hawa kweli wana akili sawasawa si wako sawa na mtu anayekata tawi au kuti alilokalia?? walioba zinduka!! WHY THAT MY FATHER?? WE GAVE EVERYTHING U NEED NOW UR TURNCOAT!!
 
Muungano huu kuuvunja ni ndoto za mchana kweupe! Duuh
 
Hakuna kumung'unya maneno, majibu kwa maswali saba ya Warioba ndiyo tunataka sio kelele
 
Nimekaa na nimetafakari hasa ni kitu gani huyu warioba anakitafuta na nimekuja kugundua kuwa anachokitaka hasa si chochote ila ni kuvunja muungano.Ukifuatilia kwa makini kazi yake rasmi ilishakwisha wakati wa tume ilipowasilisha ripoti kwa rais lakini ni kwa nini yeye amekuwa ndo kihelehele haswa kushinda wengine kutaka kujibishana na kila mtanzania dhidi ya upotofu wa mawazo yake na kutaka kila mtanzania afikiri kama anavyofikiri yeye!! hii inamaanisha kuwa akiwaambia watanzania kuwa bangi ni nzuri tu iruhusiwe basi anataka wazazi wote wamkubalie na atakaye pingana naye basi ujue ni ugomvi!! ndio mambo anayotaka kutuletea huyu mzee hapa kwetu na hizi pilika pilika zake za kutaka kuvunja muungano sa sijui ana ndoto za kugombea urais baadae kwa hii publicity stunt anayoifanya sasa??
Anakasirika sana pale anapoambiwa kuwa mawazo yake siyo yale ya watz kwani kwenye ripoti inaonyesha kuwa zaidi ya 60% ya watz wote waliopiga kura hawakuzungumzia suala la muungano hii inamaanisha kuwa walilidhika nao na ni % chache tu waliotaka serkali 3 na ya mkataba sasa hawa waliowengi ambao wameridhika na mfumo uliopo mbona unawalishia maneno ambayo hawakuyasema??
Kwa kweli huyu mzee mi ananichefua kabisa na hizi itikadi zake wakati mwingine nasikia tetesi kuwa eti anataka salim awe ndo rais wa muungano baada ya kukosa mwaka 85 kiti hicho kwa hiyo anataka kumpa kiti hicho kupitia mlango wa nyuma,maajabu ya musa haya!!
Pia anatabia ya kuwasemea waznzbr mi nachotaka kumwambia kuwa mi ni mbara lakini nimekaa znznbr miaka 6 na nimerudi mwaka jana tu nataka nimweleweshe kuwa waznzbr ambao hasa ni waunguja wao wanataka muundo huu uliopo bali uboreshwe tu hao anaowasema yeye wanataka serkali 3 ni wapemba wa kwao huko pemba ila wanaishi pale znzbr na ndio wanaopiga makelele na ndio ambao kwao ni masikini kushinda wote,na umasikini wao haukusababishwa na bara huku bali ni wakihistoria kwani wao waliyakataa mapinduzi na adhabu yao karume aliyowapa ndio hiyo ya kutokuwaendeleza sasa kikwete kaja kawapa rais mpemba,makamu wa rais,umeme labda wataridhika lakini wapi!! kumbe ni kweli yale maneno yasemwayo na waunguja kuwa hata umtendee wema mpemba kiasi gani hana shukrani.
Kwa hiyo warioba aache polojo zake waunguja ambao ni wengi na ambao asili yao ni bara wanataka muundo huu uendelee ila uboreshwe tu bado wanawataka ndugu zao wa bara hao wapemba kwanza wengi wao walishaukana uafrka na wanajiconsider wao ni waarabu ndo wanaotaka kujitenga wajiunge na nchi za kiarabu kwa hiyo warioba dont be pawn in a chess game which you dont even know father.

wewe una uzuri gani!!!!! kwani warioba yuko kwa ajili ya mashindano ya warembo, hebu nyoosha kiswahili.

Unacholeta hapa ni chuki zako kwa wapemba wala si warioba.mbaguzi mkubwa wewe
 
Mleta thread kama siyo mvivu wa kufikiri basi unajipendekeza kwa ccm ama ni mtoto wa fulani. Yaelekea huna nia nzuri na mzee Warioba na kauli hii itakuwa ushahidi tosha lolote likimpata mzee Warioba.
 
Kikwete anajua kama Warioba ni mpinga muungano lakini alichofanya ni "mchawi mpe mtoto wako amlee"
 
Nimekaa na nimetafakari hasa ni kitu gani huyu warioba anakitafuta na nimekuja kugundua kuwa anachokitaka hasa si chochote ila ni kuvunja muungano.Ukifuatilia kwa makini kazi yake rasmi ilishakwisha wakati wa tume ilipowasilisha ripoti kwa rais lakini ni kwa nini yeye amekuwa ndo kihelehele haswa kushinda wengine kutaka kujibishana na kila mtanzania dhidi ya upotofu wa mawazo yake na kutaka kila mtanzania afikiri kama anavyofikiri yeye!! hii inamaanisha kuwa akiwaambia watanzania kuwa bangi ni nzuri tu iruhusiwe basi anataka wazazi wote wamkubalie na atakaye pingana naye basi ujue ni ugomvi!! ndio mambo anayotaka kutuletea huyu mzee hapa kwetu na hizi pilika pilika zake za kutaka kuvunja muungano sa sijui ana ndoto za kugombea urais baadae kwa hii publicity stunt anayoifanya sasa??
Anakasirika sana pale anapoambiwa kuwa mawazo yake siyo yale ya watz kwani kwenye ripoti inaonyesha kuwa zaidi ya 60% ya watz wote waliopiga kura hawakuzungumzia suala la muungano hii inamaanisha kuwa walilidhika nao na ni % chache tu waliotaka serkali 3 na ya mkataba sasa hawa waliowengi ambao wameridhika na mfumo uliopo mbona unawalishia maneno ambayo hawakuyasema??
Kwa kweli huyu mzee mi ananichefua kabisa na hizi itikadi zake wakati mwingine nasikia tetesi kuwa eti anataka salim awe ndo rais wa muungano baada ya kukosa mwaka 85 kiti hicho kwa hiyo anataka kumpa kiti hicho kupitia mlango wa nyuma,maajabu ya musa haya!!
Pia anatabia ya kuwasemea waznzbr mi nachotaka kumwambia kuwa mi ni mbara lakini nimekaa znznbr miaka 6 na nimerudi mwaka jana tu nataka nimweleweshe kuwa waznzbr ambao hasa ni waunguja wao wanataka muundo huu uliopo bali uboreshwe tu hao anaowasema yeye wanataka serkali 3 ni wapemba wa kwao huko pemba ila wanaishi pale znzbr na ndio wanaopiga makelele na ndio ambao kwao ni masikini kushinda wote,na umasikini wao haukusababishwa na bara huku bali ni wakihistoria kwani wao waliyakataa mapinduzi na adhabu yao karume aliyowapa ndio hiyo ya kutokuwaendeleza sasa kikwete kaja kawapa rais mpemba,makamu wa rais,umeme labda wataridhika lakini wapi!! kumbe ni kweli yale maneno yasemwayo na waunguja kuwa hata umtendee wema mpemba kiasi gani hana shukrani.
Kwa hiyo warioba aache polojo zake waunguja ambao ni wengi na ambao asili yao ni bara wanataka muundo huu uendelee ila uboreshwe tu bado wanawataka ndugu zao wa bara hao wapemba kwanza wengi wao walishaukana uafrka na wanajiconsider wao ni waarabu ndo wanaotaka kujitenga wajiunge na nchi za kiarabu kwa hiyo warioba dont be pawn in a chess game which you dont even know father.

Kwani we ni nan mpak umjibu, afadhali yy ataashakuwa mwenyekit wa tume.
 
Hata kuandika hujui? Ndio kuwahi posho huko!
 
Mtu mzima kama Warioba nakuja na hoja kama vile hakwenda shule eti:-
-Wewe ni mtanzania ila kama sio mzanzibar huwezi kupata aridhi znz pia huwezi kupiga kura znz
Ila kwao wakija tanganyika ni kinyume chake

-Takwimu ni za kweli ni kwanini kwa nyalali na kwa kisanga hawakusema twakimu ni za uwongo?
-anasema kipindi cha nyuma wanajeshi walikuwa choka mbaya lakin hawakufikir kupindua nchi kwa hiyo hoja ya kupindua nchi kwa sababu ya serikal tatu haitakuwa na fedha ya kuwalipa haina mashiko
-Wasizungumzie takwimu au gharama watafute majibu ya hoja na maswali
-Warioba amesema mwalimu akirudi ghafla akakuta maraisi wawili wanapigiwa mizinga 21 angeshangaa sana"
 
Zingatia yafuatayo:
1. Baada ya kukabidhi rasimu ya katiba kwa raisi na kuiwakilisha bungeni, Warioba anakua huru kuzungumzia kilichomo kwenye rasimu kama alivyo raia mwingine yeyote
2. Rasimu ya katiba sio mawazo ya Warioba au mjumbe yeyote bali ni mawazo kutoka kwa wananachi.
3. Uchambuzi wa kitakwimu uliofanywa na tume kama ilivyo katika uchunguzi wowote unatakiwa kuchukuliwa kwa msingi wa ukubwa wa sampuli na jinsi taarifa ilivyokusanywa na sio kwa kuchukulia ukubwa wa idadi yote(population)
4. Mawazo ya wazanzibari walio wengi ni kwamba Muungano ndio unao wafanya wasiwe kama ilivyo Sultanate of Oman hivyo wanataka mamlaka kamili ya kiserikali
5.Matatizo yaliyokuwepo katika utaratibu wa serikali mbili yalitatuliwa kwa makosa kwa kuwapa Zanzibar mamlaka ya kutunga katiba yao inayopingana na katika ya Jamhuri wa muungano
6. Njia iliyopo ya kuwa na muungano wa hiari ni kuwa na serikali tatu
7. Mfumo wa sasa wa serikali mbili utadumu kwa muda mfupi kwakua utakua ni wa mabavu na sio wa hiari. Jeshi lazima litumie nguvu Zanzibar kuudumisha
 
Thread ndeefu halafu ni full of rubbish!ni lini tume ya Warioba ilitoa mapendekezo ya kuvunja muungano?na ukumbuke ile tume si Warioba peke yake!kuna vichawa vingi sana ndani ya ile tume!tatizo Watanzania unafiki na uvivu wa kufikiri ndio umetujaa!tunampiga majungu yasiyo na tija kuwa Wariob ana nia ya kuvunja muungano,hapo hapo tunampa nishani kwa mchango wake wa kudumisha muungano!huu sio unafiki uliopitiliza kweli?juzi tunakimbilia kukata umeme maeneo mbalimbali ili watu wasione mahojiano ya Warioba ndani ya Dakika 45!ukweli hata uufiche vipi lazima utakuja kuonekana tu
 
Back
Top Bottom