TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Hii ni RIWAYA au hoja?Naona mleta mada ametiririka tu hakuna statistical referrences wala literal referrences?Naona CCM mnaendelea ku-waffle without any substance na kwa mwelekeo huu yaonyesha mshashindwa kwenye hoja ya Muungano wa serikali tatu.
Mleta mada pia anasema Waryoba anatulisha maneno ni maneno yapi hayo anayotulisha?Waryoba anayatetea mawazo yetu halisi yaliyomo kwenye rasimu wala hatoi kichwani mwake.Labda ni wewe na Mi-CCM wenzako ndiyo mnaotulisha maneno.Labda nikukumbushe kitu,kwenye katiba mpya pia tulipendekeza UWAZI mbona pia mnataka kuundoa?Au pia ni kosa la Waryoba?