Warembo wetu jamani vimini mhhhh

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
13v.JPG
12.JPG
tcc.JPG
 
You need not to be told, it is nothing than a 'promo'. Naona wanapata shida sana kujitangaza, na bora watengenezewe websit yao ili ieleweke kuwa sasa kujiuza ni rasmi
 
Wanatamani sana kutembea uchi kabisa ila sheria inawabana hasa ile ya watu kuchukua sheria mkononi.Wanapenda watuoneshe kila kitu mpaka uvunguni.....!!!hii ndiyo fahari yao
 
hapa hakuana hata mmoja ana faa kuowa ipo siku atatembea na chup mbele ya baba mkwe
 
wangekuwa wamevaa mchana au kanisani tungeweza kulaumu...! hizo in evening wear...! HAKUNA UBAYA HAPO...! ulitaka wavae madera jioni..?

WANAUWAKE NI MAUA..! si unaona wanavyo vutia kuawaangalia..!
 
Back
Top Bottom